ISRAEL:Jaribio la kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye KONTENA lililo ktk Meli ya Mizigo ya kiraia

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701


Mkandarasi wa jeshi la israel amefanya Jaribio lililofanikiwa la Kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye kontena la lililo katika Meli ya kiraia.

Kombora hilo lina uwezo wa Kusafiri hadi KM 400.
SOURCE:rt

MAONI:
Tunakoelekea, Vita vinazidi kurahisishwa sana kiasi kwamba kile unachodhani sio hatari kumbe ni hatari kuliko maelezo.
Changamoto Utagunduaje hiyo meli inayokuja na Makontena lukuki inakombora au Makinikia peke yake??

Kazi ipo...
 
Labda kakosea kusoma, maana Leo Israel ndo kashambulia Syria baada ya Roketi toka Syria kutua kwenye ardhi ya Israel.
 
ilo kombora linaweza kufika iran? naomba Mungu watengeneza kombora litakalofika iran litakalopindua undongo chini juuu. Mungu yupo, ipo siku tu.
 
hapo NATO wakowapi khs zuio la Jaribio la Makombora..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…