MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
KILOMITA 400!!!
Mkandarasi wa jeshi la israel amefanya Jaribio lililofanikiwa la Kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye kontena la lililo katika Meli ya kiraia.
Kombora hilo lina uwezo wa Kusafiri hadi KM 400.
SOURCE:rt
MAONI:
Tunakoelekea, Vita vinazidi kurahisishwa sana kiasi kwamba kile unachodhani sio hatari kumbe ni hatari kuliko maelezo.
Changamoto Utagunduaje hiyo meli inayokuja na Makontena lukuki inakombora au Makinikia peke yake??
Kazi ipo...
si ni sawa tufanye kutoka ubungo mpaka wapi? chalinze msata morogoro au wapi?