ISRAEL:Jaribio la kombora la Masafa Marefu kutoka kwenye KONTENA lililo ktk Meli ya Mizigo ya kiraia

hapo NATO wakowapi khs zuio la Jaribio la Makombora..
NATO hawapo tena duniani mkuu, wangekuwepo wangeshamsambaratisha north korea. aibu ilioje. sasaivi israel inajitegemea. iran ameshasema mara nyingi kwamba taifa analolihofia ni israel pekee, hata marekani haogopwi na irani, ila myahudi amewaweza sana hawa masingasinga.
 
ilo kombora linaweza kufika iran? naomba Mungu watengeneza kombora litakalofika iran litakalopindua undongo chini juuu. Mungu yupo, ipo siku tu.
Ata likirushwa kutoka kibiti halifiki kilimanjaro au dodoma!!!
 
acha ushamba, hivi unajua maana ya kilometer 400? hapa dsm hadi mbeya ni km 800. dsm hadi arusha 900. dsm morogoro km 300. ukiwa israel kwenda syria ni sawa na kutoka dsm kwenda chalinze au morogoro (hapo unafika katikati ya nchi. syria imepakana na iran kusini, pamoja na iraq. kuna kipindi cha sadam israel ilipaisha ndege toka home kwao hadi kushambulia iraq, wala si mbali na hawawezi kutupatia shida kuwaadhibu!
 
Mkuu hii habari nimeifuatilia sijaiona kokote nimetembelea web ya RT, BBC, Reuters , Hadi jerusalem post sijaona hiki unachokisema....labda wewe utuambie chanzo cha hii habari umetoa wap.....au kama upo hapo middle east

Mimi nilichokiona kwenye facebook page ya RT ni kwamba ndege ya israel imelipua vifaru viwili vya syria
Taarifa hii hapa Vous quittez Facebook
Nenda nje ya MSM utapata habari, in real time update
 
Siyo kila kinachotembea kwa miguu miwli ni binadamu!.
Huwezi kuwa na mtu mwenye wendawazimu halafu ukamwacha akae na panga na visu!. siyo kila mweney panga na visu atavitumia kwa ustawi wa famillia.

Watu wenye akili punguani kama wale wanaochinjana eti kwa sababu America aliwapa elimu ya vita, bila shaka ni hatari hata kuwaacha wakawa na shoka la kupasulia kuni!. Watasema wameua watoto wote kwa kuwa nyumbani kwao kuna shoka.

Hope umeelewa.

mbona north korea aki jaribu maneno yanakiwa mengi? mara makubaliano ya kimataifa mara sijui ujinga gani huko...!!
 
acha ushamba, hivi unajua maana ya kilometer 400? hapa dsm hadi mbeya ni km 800. dsm hadi arusha 900. dsm morogoro km 300. ukiwa israel kwenda syria ni sawa na kutoka dsm kwenda chalinze au morogoro (hapo unafika katikati ya nchi. syria imepakana na iran kusini, pamoja na iraq. kuna kipindi cha sadam israel ilipaisha ndege toka home kwao hadi kushambulia iraq, wala si mbali na hawawezi kutupatia shida kuwaadhibu!

Mkuu, dhana yako nimeikubali ila nitafurahi kama uki review hizo KM za kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam. Nina mashaka kidogo.

Lakini pia kwa nyongeza, bomu halifuati barabara kwamba kuna kona na miinuko na mieteremko inayoongeza umbali. Umbali wa barabara si umbali wa anga. Angali hakuna kutoka Dar, kupitia Chalinze halafu unakata kona kwenda mikumi sijui Segera then unaanza kuabaa kuielekea wapi sijui. The moment unapofika mlimga kitonga upande na ushuke, angani unaweza kuwa Njombe.
 
Warusi wanazo hivo vitu vya dizaini hii miaka mingi tu .... Club-K Container Missile System

907e8a588d9b61f5b2b82d1898953785.jpg

IMDS-2011_56-L.jpg

VIDEO

acha ushamba, hivi unajua maana ya kilometer 400? hapa dsm hadi mbeya ni km 800. dsm hadi arusha 900. dsm morogoro km 300. ukiwa israel kwenda syria ni sawa na kutoka dsm kwenda chalinze au morogoro (hapo unafika katikati ya nchi. syria imepakana na iran kusini, pamoja na iraq. kuna kipindi cha sadam israel ilipaisha ndege toka home kwao hadi kushambulia iraq, wala si mbali na hawawezi kutupatia shida kuwaadhibu!
Duh dar es salaam adi arusha 900km yewooooomi. Unashindwa kujuwa kilometre za Dar to Arusha unakimbilia Asia utazijuwa kweli kwa mtaji huu !!!!
OMBA MSAADA KWENYE TUTA
The calculated flying distance from Arusha to Dar es Salaam is equal to 298 miles which is equal to 479 km. If you want to go by car, the driving distance between Arusha and Dar es Salaam is 631.35 km.
 
Mkuu, dhana yako nimeikubali ila nitafurahi kama uki review hizo KM za kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam. Nina mashaka kidogo.

Lakini pia kwa nyongeza, bomu halifuati barabara kwamba kuna kona na miinuko na mieteremko inayoongeza umbali. Umbali wa barabara si umbali wa anga. Angali hakuna kutoka Dar, kupitia Chalinze halafu unakata kona kwenda mikumi sijui Segera then unaanza kuabaa kuielekea wapi sijui. The moment unapofika mlimga kitonga upande na ushuke, angani unaweza kuwa Njombe.
Mkuu unakubalije dhana yake wakati Dar .Arusha hhajuwi kuna km ngapi
Distance from Tehran to Tel Aviv
Distance between Tehran and Tel Aviv is 1585 kilometers (985 miles).
Driving distance from Tehran to Tel Aviv is 2077 kilometers (1291 miles).

1585 km kwa ndege
985 miles
2077 km kwa gari
1291 miles
 
Siyo kila kinachotembea kwa miguu miwli ni binadamu!.
Huwezi kuwa na mtu mwenye wendawazimu halafu ukamwacha akae na panga na visu!. siyo kila mweney panga na visu atavitumia kwa ustawi wa famillia.

Watu wenye akili punguani kama wale wanaochinjana eti kwa sababu America aliwapa elimu ya vita, bila shaka ni hatari hata kuwaacha wakawa na shoka la kupasulia kuni!. Watasema wameua watoto wote kwa kuwa nyumbani kwao kuna shoka.

Hope umeelewa.
Mkuu sasa hao watu wenye akili timamu wanaojiona kuwa wana haki ya kumiliki kisu, shoka na panga ndo wamewahi kuua watoto wote wa familia
 
Hapo middle east pamechafuka sana, lolote kinaweza kutokea anytime.

Russia katungua ndege ya Israeli huko Syria..
Endelea kuji fajiri haita kaa itokee anajua atakacho kipata ndo maana hathubutua kutungua hata drone ikipita mbele yake!!..
 
acha ushamba, hivi unajua maana ya kilometer 400? hapa dsm hadi mbeya ni km 800. dsm hadi arusha 900. dsm morogoro km 300. ukiwa israel kwenda syria ni sawa na kutoka dsm kwenda chalinze au morogoro (hapo unafika katikati ya nchi. syria imepakana na iran kusini, pamoja na iraq. kuna kipindi cha sadam israel ilipaisha ndege toka home kwao hadi kushambulia iraq, wala si mbali na hawawezi kutupatia shida kuwaadhibu!
Acha uongo nan amekuambia Dar -Arusha ni 900km?
 
Back
Top Bottom