Israel isiichokoze Egypt

Duh..
Hii itakuwa ni sinema nyingine inaandaliwa (iko kwenye studio room for final editing)..

Viva Palestine, Viva Egypt, Viva Arab contries, Viva Lebanon. Viva Hitler. Wapeni kichapo hao wana kondoo. Wakati wao umewadia. Maliza Israel, Safisha Israel. Waarabu wa 70§ sio tena waarabu wa karne ya 21. Israel kwisha. Tusubiri kichapo watakachopata kutoka kila kona ya Israel.

Acha porojo wewe. Tumia akili. Utajiri wa Israel hauwezi kupita utajiri wa nchi za kiarabu. Hao mabwana zao America wanaishi kwa kuwaibia waarabu. Bila waarabu America ni maskini tu, ndio maana haweshi kuanzisha vita visivyo na maana yoyote ili wapate kuiba mali za Arab contries. Kubali au kataa huo ndio ukweli.

mkuu punguza jazba kidogo

ukweli wa mambo ni kwamba hata waarabu wakiungana wote hawawezi kuipiga israel,nyie waislam hamfikirii mbali na uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana

Mkuu waislam wameingiaje tena hapa. Mbona kuna waarabu wengi tu ambao sio waislam. Fikiri kwanza, usilete ulokole katika mambo yasiyohusu.

Heshima mkuu! Rekebisha kumbukumbu zako, Hitler alikuwepo lini na Israel hii unayoiongelea ilikuwepo lini?! Watu wa pande zote mnaweza kutoa mapovu sana, lakini jueni kuwa mambo haya yanaenda kwa timetable maalum. Kama mda haujafika hata US na dunia yote ingekuwa kinyume na Israel, wasingeishinda. Ukitaka kujua mtiririko wa yote yatakayotokea kuihusu Israel in future lazima utafute MUNGU WA ISRAEL amepanga na amesema nini kuhusu hilo. kumbuka siyo mungu yeyote la, ni MUNGU WA ISRAEL.

Hey mkuu usichanganye kati ya Israel na wayahudi, Israel ni taifa na tangu lianzishwe 1948 limefanya mambo makubwa. Bila ushabiki Waarabu hawawezi kupigana na israel maana nafikiri waarabu ndo watu wenye uwezo mdogo wa kubuni na kuvumbua mambo kwa sasa. Hitler hakupambana na Israel bali aliwaua wayahudi ambao walikuwa ni raia wa Ujerumani, Poland na baadhi kutoka Austria na Hungaria. Ni sawa na Rais wa TZ awaue wahindi wa hapa TZ halafu tuseme India imeshindwa kutupiga. Kuhusu misaada ya US hata nchi za kiarabu zinapewa lakini zimeshindwa kutumia vizuri misaada hiyo. Ukitaka kujua zaidi tafuta habari zaidi kuhusu kilichotokea mwaka 1970 wakati US ilipoiwekea vikwazo Israel kwa shinikizo la waarabu wakitishia kutoiuzia US mafuta kama haitaiwekea Israel vikwazo. Ujue kilichowatokea waarabu.

Ndugu usijidanganye, Israel haitegemei hata kidogo uhusiano wake na misri na hata Jordan. Israel ilishaishi bila rafiki middle east kuanzia 1948 mpaka 1981 bila kutetereka. Na USA haitoi misaada kwa Misri ili kudumisha uhusiano wa misri na Israel bali ni kwaajili ya kuwaendesha vizuri waarabu kwa maslahi ya USA.

Hiyo misaada ilianza kutolewa kila mwaka na USA baada kusign hiyo peace treaty na Israel. Inaonekana huijui vizuri historia ya MidEast vizuri.

[h=3]True Cost to U.S. Taxpayers[/h]Generous as it is, what Israelis actually got in U.S. aid is considerably less than what it has cost U.S. taxpayers to provide it. The principal difference is that so long as the U.S. runs an annual budget deficit, every dollar of aid the U.S. gives Israel has to be raised through U.S. government borrowing.
In an article in the Washington Report for December 1991/January 1992, Frank Collins estimated the costs of this interest, based upon prevailing interest rates for every year since 1949. I have updated this by applying a very conservative 5 percent interest rate for subsequent years, and confined the amount upon which the interest is calculated to grants, not loans or loan guarantees.
On this basis the $84.8 billion in grants, loans and commodities Israel has received from the U.S. since 1949 cost the U.S. an additional $49,936,880,000 in interest.
There are many other costs of Israel to U.S. taxpayers, such as most or all of the $45.6 billion in U.S. foreign aid to Egypt since Egypt made peace with Israel in 1979 (compared to $4.2 billion in U.S. aid to Egypt for the preceding 26 years). U.S. foreign aid to Egypt, which is pegged at two-thirds of U.S. foreign aid to Israel, averages $2.2 billion per year.
There also have been immense political and military costs to the U.S. for its consistent support of Israel during Israel's half-century of disputes with the Palestinians and all of its Arab neighbors. In addition, there have been the approximately $10 billion in U.S. loan guarantees and perhaps $20 billion in tax-exempt contributions made to Israel by American Jews in the nearly half-century since Israel was created.
Even excluding all of these extra costs, America's $84.8 billion in aid to Israel from fiscal years 1949 through 1998, and the interest the U.S. paid to borrow this money, has cost U.S. taxpayers $134.8 billion, not adjusted for inflation. Or, put another way, the nearly $14,630 every one of 5.8 million Israelis received from the U.S. government by Oct. 31, 1997 has cost American taxpayers $23,240 per Israeli.
It would be interesting to know how many of those American taxpayers believe they and their families have received as much from the U.S. Treasury as has everyone who has chosen to become a citizen of Israel. But it's a question that will never occur to the American public because, so long as America's mainstream media, Congress and president maintain their pact of silence, few Americans will ever know the true cost of Israel to U.S. taxpayers.

Unaota Ami! Hujui kitu kabisa wewe, umebakia ushabiki tu

Fuatilia bomu la Hiroshima lilifanya watu waogope vita liligunduliwa na nani na kwa masaa mangapi kuipiga Japan

Mimi nilifikiri kuna cha maana hapa, kumbe ni zile zile NJOZI za wafuasi wa Allah kiumbe.

Kamwombeni allah wenu amsaidie Muhammar Qadafi kama ana huo uwezo.

UMEONGEA KWA HASIRA SANA MKUU NADHAN UMESAHAU HISTORIA YA HAWA ISRAELI,KWANZA NIKUPASHE KIDOGO, ISRAELI YA 70s SIO TENA YA 2011,PIA ISRAEL HUTENGENEZA 99%YA SILAHA ZAKE KASORO NDEGE ZA F16 NA F 22 RAPTORS NDIO HUAGIZA MAREKANI! ISRAELI INA SILAHA ZA NYUKLIA NA SILAHA ZA ATOMIC INAKADIRIWA NI MOST "SOFISTICATED" DUNIAN ZINAKADIRIWA KUFIKIA MABOMU 600 SO FAR,WANA ULINZI WA ANGA AMBAO HAUPITIKI NA WENYE NDEGE 100 ZILIZO KTK UTAYARI WA KURUKA 24/7! WANA JESHI DOGO LA VIJANA LILILOFUNDISHWA KUPIGANA NA SIO KUFANYA MAGWARIDE NA PAREDI UWANJANI KAMA YA WAARABU!
Upande wa waarabu upo hv,
HUTENGENEZA SILAHA ZAO WENYEWE KWA 1% WKT 99% HUAGIZA NJE HASA,KOREA,URUSI NA MAREKANI KWAHIYO UKITAKA SIRI ZA VIFAA VYAO NENDA WANAKO NUNUA!,WAARABU HAWANA UMOJA NA HAWAJUI KUPIGANA KWA TACKTICS WAO HUPIGANA KAMA ASKARI WA MAJIMAJI,WAARABU HUWAZA SANA KUSHEHEREKEA,KUSALI,KUPUNGA BENDERA NA KUIMBAIMBA WKT WA MAPIGANO! WAARABU HAWANA INTELLIGENCE SYSTEM IMARA KAMA YA ISRAELI!
Walishawah pigwa kwa siku 6 mataifa 5!
WAARABU WENGI NI WAISLAM KWAHIVYO WALILAANIWA NA HAWANA AKILI SIKU ZOTE!

SO WHAT?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KAMA UNA UCHUNGU SANA NENDA FRONT MKUU UKATOE SUPPORT Ukutane na moto zaidi ya ule uliowawakia hao hao Misri mwaka 1967.

Hivi Mods kwa nini msiweke kisehemu cha DISLIKE ili watu wakiota ndoto za aina ya anazoota Globu tuweke DISLIKE ili kumsaidia kimawazo.

KInacholiliwa na waarabu namataifa yote ya kiislamu ni kuwa Mji wa Jerusalem uwe mikononi mwa MPalestina. Maana hapo pana sehemu ya Pili takatifu kwa dini ya Kiislamu ukiacha macca. Sasa kama kuna mtu mwamba humo urabunini, mbona hawajakomboa Jerusalem? Usisifie Hisbolla, maana Israel ni Taifa huru na linaheshimu jeshi. Sasa mwambie huyo Hisbollah avae jezi za jeshi na halafu apigane na Israel. Kwa nini wanataka kuvaa Nguo za Kiraia wakati wanapopigana na Israel? Jeshi lollote duniani linashitakiwa ikiwa linalenga raia asiye na nguo za kijeshi.

Halafu Usimsikilize Mmisri hata kidogo. Mmisri ni taifa ndumila kuwili. Kwa misri kufanya urafiki na Israel wao wananufaika sana kiuchumi katika export na Utalii. Kila mwaka watalii kutoka Israel Humiminika Misri kujionea Sehemu Musa alipewa Amri kumi na Mungu. HIvyo sjilika la ndege la Misri linaingiza pesa nyingi sana kwa kubeba watalii wa Kiisrael kutoka duniani kote na mahotel yao kupata pesa nyingi na hivyo kukuza soko la ajira kupanuka.

Hakuna kiongozi yeyote wa misri atakaye vunja uhusiano wa kibalozi na isrell. Na Israel lazima Itatamba kwa sababu inamlishia uchumi mmisri. Hivyo mikataba ya Camp David inamnufaisha mmisri kupita muisrael. Ndio maana hata Uturuki alipopigiwa Raia zake na kuuwa tisa, hakuthubutu kuvunja uhusiano wa kibalozi na Israel kwa sababu ya kuogopa kupoteza pato la kiuchumi.

Watu siku hizi wanaangalia maslahi ya kiuchumi kuliko siasa. Israel ni Taifa kubwa duniani na lanne kwa Usuper power nyuma ya Mfaransa.Israel ni taifa liheshimulo haki za raia na haliwezi kuuwa raia wasio na hatia hata kama wanawashambulia huku wamevaa kiraia. Hivyo isiisifie hisball kitoto. Hii ndio maana marekani imechukua miaka kumi kumkamata Bin Raden. Kwa sababu ya kukwepa kuwaua raia.

umemueleza vyema,naona anakurupuka tu bila kujua mambo yalivyo

Mafalasha mwenyewe mara mia.Hapa tunazungumzia Misri then unaleta suala la Hezbolah ambalo ni tofauti. Kumbuka Israel haikupigana full scale war bali walitaka kukomboa wanajeshi wao waliotekwa na hao magaidi. Full scale war ingebidi nchi ya Lebanon yote iingie vitani jambo ambalo halikuwa lengo la Israel. Hezbolah ni kikundi ndani ya nchi ya Lebanon na walikuwa wana fanya mtindo wa hit and run na ktk hali kama hii isingekuwa rahisi kuwapata. Kumbuka vita ya 1967 Israel ilipigani hewani, baharini na nchi kavu wakati vita yake na hao jamaa zako hezbolah ilikuwa ya hewani tu yaani mashambulizi ya ndege.

Aisee Mr. Right you're now Mr. Wrong kwa sababu katika enzi za Hiltler taifa la Israel halikuwepo bali liliundwa miaka mitatu baada ya vita kuu ya pili ya dunia kumalizika yaani 1948. Enzi za Hitler ni 1940-1945 kwa hiyo na ku-prove wrong kwa kuwa mshabiki zaidi ya kusema ukweli. Pili ile vita ya mwaka 1967 ya six days Israel haikusaidiwa popote na USA kwani pia video yake ninayo. Tatu kabla huja comment soma historia ya formation ya taifa la Israel na Zionism movement utaona ni miujiza tupu ya Mungu then nenda kwenye bible katika kitabu cha Ezekieli sura ya 11:16-17 usome jinsi Mungu alivyoahidi kuwarudisha Israel kutoka kote walikokuwa wametawanyika including Germany. Soma historia uone jinsi nchi za kiarabu zilivyowauzia Israel plot na baadaye baada ya kuona Israel wameongezeka na kuwa na teknolojia kubwa sana ya silaha wakataka kuwa futa na uone kilichotokea miaka 1950 -1957. Baada ya hapo utaelewa Israel siyo taifa linaloelea elea tu bali kuundwa na ku survive kwake kuna mkono wa Mungu mwenyewe.

umemueleza vyema,naona anakurupuka tu bila kujua mambo yalivyo

TATIZO AMEKURUPUKA KWA JAZBA TU,UNAJUA WAYAHUDI WANA MSEMO WAO FLANI WA KUWAKEBEHI WAARABU UPO HIVI "ARABS DO NOT UNDERSTAND TECHNICAL LANGUAGE"! UMEONA WAPI MWARABU KAGUNDUA KITU? Au AU MHANDISI WA KIARABU KAFANYA DESIGN YA KI2 FLANI? VITU VYAO VYOTE WANAAGIZA NJE,WANAJENGEWA NJE NA CHAKUSHANGAZA HUKO NJE WANAKOKWENDA KUTAFUTA WAKANDARASI WA KUWAJENGEA HUWA NI MAKAMPUNI YA WAYAHUDI WANAOISHI HUKO!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…