Netanyahu amekipata alichokuwa anakitafuta, kurudisha imani ya serikali Biden na uungwaji mkono na Wamarekani wanaoonekana kuchoshwa na vita vyake vya Gaza1. Ni mpuuzi pekee mwenye kutaka vita. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
View attachment 2963195
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?
4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"
5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.
View attachment 2963193
6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!
View attachment 2962901
7. Kumbe kulikoni kulalamq? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?
Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
🇮🇱🇮🇷 Israel is now spreading Zelensky-type propaganda that they managed to intercept 103% of the total number of drones and missiles, all in order to have an excuse for not retaliating against Iran. But knowing that the Israelis are like little children, it is possible that they will hit back and open the door to a great war.Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Braza (J) Juma embu tuhabarishe ni majenerali wangapi wa kizayuni wamesha tangulizwa kwa mabikra 72 baada ya ilo shambulizi??1. Ni mpuuzi pekee mwenye kutaka vita. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
View attachment 2963192
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?
4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"
5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.
View attachment 2963193
6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!
View attachment 2962901
7. Kumbe kulikoni kulalamq? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?
Israel kachambia mgomba Uwanja wa ndege umefumuliwa na makombora 15Tupe picha za athari huko israel
View: https://twitter.com/Osint613/status/1779437877694226770?t=kLy8UcobSYRUwstb_aR9Ig&s=19
🇮🇱🇮🇷 Israel is now spreading Zelensky-type propaganda that they managed to intercept 103% of the total number of drones and missiles, all in order to have an excuse for not retaliating against Iran. But knowing that the Israelis are like little children, it is possible that they will hit back and open the door to a great war.
Anakiburi yeye anajua Israeli ndo wenye jeshi boraNetanyahu amekipata alichokuwa anakitafuta, kurudisha imani ya serikali Biden na uungwaji mkono na Wamarekani wanaoonekana kuchoshwa na vita vyake vya Gaza
Braza (J) Juma embu tuhabarishe ni majenerali wangapi wa kizayuni wamesha tangulizwa kwa mabikra 72 baada ya ilo shambulizi??
Political warfare huwa inachezwa kwa akili sana.
Naoona iran yenye nguvu na yenye kujiamini na kuongeza soko la silaha zakeHata shambulizi hili linaangukia humo humo. Limepangiliwa kujibu bila majibu labda kwa mshari kweli kweli:
View attachment 2963261
Hivi wewe huwa na akili kweli? Tusubiri1. Ni mpuuzi pekee mwenye kutaka vita. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
View attachment 2963192
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?
4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"
5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.
View attachment 2963193
6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!
View attachment 2962901
7. Kumbe kulikoni kulalamq? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?
Mayahudi na kaka yao Marekani kazi wanayo! Huku Hamas, kule Wahouth, bado kuna Hezbollah! Kuna we waasi wa Iraqi! Na sasa Iran!!
Hivi wewe huwa na akili kweli? Tusubiri
Naoona iran yenye nguvu na yenye kujiamini na kuongeza soko la silaha zake