Ilikuwa ni mpango wa Muda mrefu na haikua bahati mbaya na suala hili lilianzia katika hekaya ya Osama Bin Laden na kundi lake hii ilijumuisha na makundi mengine yaliyo katika dunia ya kiarabu na hii iliasisiwa na Marekani, Ufaransa na Uingereza na mafungu yalitolewa kwanza kuhakikisha Dunia ya kiarabu inavurugika yote na kuwavunja nguvu wale wote ambao wangeweza kuwasaidia Hamas hivo mafungu yale yalikuwa madhubuti kwa kuaandaa na kulipa makundi ya kiana harakati au ya Kiasi ili waweze kukabiliana na Hamas akiwa hana msaada wowote ule, kumbukeni SISI ni myahudi kamili ambae nae yupo katika mkakati huo muda mrefu sana. Itaendelea