Ghost boss
Member
- May 3, 2019
- 33
- 57
Jana nimeona kwenye BBC ugaidi unaofanywa na Palestine kurusha makombora kwa raia na kwenye nyumba za ibada, matisho kwa raia Wa kiyahudi yakuwa chungu mzima, serikali ya Israel sasa hamkwepi lawama kwenye hili.
Haiwezekani nchi kama Palestine isiyo na jeshi ila vikundi vya kigaidi inatesa Israel na kusumbua taifa linaloaminika kuwa na ustadi na ubora Wa kijeshi, hapa kwetu Tanzania ni taifa tajiri kwa rasilimali ila masikini kwa asilimia Fulani ya maisha ya watu ila hatuwezi tukarushiwa kombora na kikundi cha kigaidi au taifa na chamtemakuni wasikione na hawato kaa warudie tena, kama kipigo tulicho mwangushia mganda mpaka Leo hana hamu na sisi.
Lakini pia Israel mnakwama wapi kuweka viongozi vibaraka kwenu uko Gaza na kupelekea hali ya utulivu huko ndani, kama mji Wa yerusalemu ndio unahali mbaya kwa mshambulio ya kigaidi yanayofanywa na vikundi vya kigaidi vya hamasi kiufupi lazima israel ifanye kitu cha lazima ikiwezekana hata kutuma vikosi maalumu Gaza kutafuta vikundi vya kigaidi na Kuvisamba Latisha hii piga piga kidogo inaamsha hasira upande Wa nchi za kiislam na kunaweza ibuka balaa la zaidi ya miaka ya nyuma.
Israel iweke amani mapema na Palestine kabla hali haijawa mbaya kama tz ilivyoweka amani na Uganda kwa kumwangushia nduli mzigo Wa kutosha Wa mabomu na risasi...