Mkuu wale ni maroboti kwahiyo hata wakikatika shingo inajiunga upya hahha!!
Tukiachana na propaganda za kuficha vifo na kubania media ndani ya Israel ila wamejitahidi kuwekeza kwenye mahandaki kwahiyo missile ikiwa njiani taarifa inatoka dakika hata 5 kabla ya impact so ukichelewa umekula kwako ila ukiwahi inapunguza madhara.