Israel has been sterilizing ethiopian women

Zungu Pule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Posts
2,218
Reaction score
1,218

Waisraeli ni kweli ni wabaguzi. Hawa Falashians (wayahudi waliokuwa Ethiopia) walisombwa katika operation Moses kuwapeleka Israel sio kwa kuwa waliwajali kama wa Israel wenzao bali walitaka watu wakujaza nafasi katika maeneo mapya wanayowanyang'anya wa Palestina.

Baada ya zoezi lao kukamilika wanawaona sasa ni taabu maana wengi walikwenda wakiwa illiterate au semi-illiterate na Israel haina mpango wa kuwaendeleza.

Kuwafunga uzazi akina mama ni njia ya kuzuia kizazi cha hawa Falasha kisikue kwani jamaa nao sio wavivu kwa kuzaana! Nadhani wa Israel wanaona hata aibu hawa Falasha kuwa wayahudi wenzao!
 
Je, kuna adhabu yoyote itakayotolewa kwa kitendo hiki cha kinyama?
 
I totally concur with you. Although some fanatics would like to see arabs mentioned in the same pastiche, this does not take away that jews are utraracist if this is what they did to Ethiopian farashas. What they did is not different from what Hitler did to them.
 
huu ubaguzi haufai. mimi kama muislam akifanya ubaguzi muislam siwezi kumwacha lazima niseme ukweli. tuwe pamoja kupinga huu unyama.
 

Hiyo ni chuki tu kwa Wayahudi kitu ambacho hakikubaliki kwa watu wote wanaopenda Amani.Kila nchi ina Utaratibu wake wa namna ya kuishi kwa watu wake,Mfano China hairuhusu watu wake kuwa na watoto zaidi ya wanne hivyo ni haki ya kila nchi kuwa na Utaratibu wa namna ya watu wake waishije
 
Ha ha haaa, kwa hiyo mkuu tatizo ni hapo kwenye red?

even shetani is depicted as black for whatever reason, the black continent is Africa where poverty will NEVER end for unknown reasons
 
Strange isn't it!!! - Not a long ago Jews used to leave in GETTOS and treated like secondary citizens in foreign countries, how dare these same simpleton treating fellow human like guinea PIG - looks like Adolf Hitler knew 'em better than we DO!
 
It is hard to believe that Israel a nation that has suffered injustice in hands of the Germans would think of repeating the same evils to other nations.
 
Dunia iwarudishe hawa ma racist where they belong: TREBLINKA, SOBIBOR,AUSCHWITZ etc.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…