Israel announces new special unit to confront Hezbollah in ground warfare

wangekuwa wanajificha kwa raia wasinge komboa hata mtaa ya lebanon ya kusin ukweli usemwe jamaa ni mainjinia wa vita
nioneshe mtaa walioukomboa

Anga la Lebanon ndio F14,F15, F16 na F35 wanatumia kushambulia.

Sasa Hezbollah wamekomboa nini
 
Wayahudi wajua fika next war na hezbullah milima ya golan itakombolewa hiv unaujua mziki wa hawa vijana wa ayatullah ebu nenda wikipedia kaandike operation bint jubeir alafu usione aibu kuja na mrejesho
Wakipigwa msianze kusema oooh wanaonewa hawana jeshi
 
wangekuwa wanajificha kwa raia wasinge komboa hata mtaa ya lebanon ya kusin ukweli usemwe jamaa ni mainjinia wa vita
wamekomboa au wameachiwa tu kwasababu ya kelele za walimwengu? hivi unaijua israel unaisikia? syria yenyewe milima ya golan hadi leo wameamua kuiacha tu baada ya kupokwa. hezbolah walijijenga sana wakaanzisha vita israel alichofanya ni kupiga magorofa wanayomiliki lebanon yanayowaingizia hela, tandika miundo mbinu yao yote ya pesa, wakanyoosha mikono, hadi leo wanaogopa wakilianzisha watarudi umasikinini tena. wameufyata. hamas ndo kabisaa, wanajenga gorofa kwa miaka mitano likiisha tu linatunguliwa wanaanza upya, wanajenga handaki kwa miaka 3 linapigwa bom la ndani kwa ndani linajifunika lenyewe, wanaanza tena. hela za kujengea wanazitoa kwa waarabu, hivyo hasara ni yao wenyewe.
 
nenda kasome nani aliomba poo vita vya ardhini vilipigwa mpaka wayahudi wakatishia kutumia mabomu ya nyuklia endapo hezbullah wangeteka eneo lingine ndani kasome tena wewe
 
kumbukumbu zako ni chache sana mzee, ngoja tu nikuache uendelee kujifariji. tangu israel aache kuwachapa waarabu1948, ikaja 1967, na vingine v yote, waarabu huwa wanakimbia hadi viatu walivyovaa vinachoropoka wanaviacha. Israel has all the means to tackle all threats from her naighbours na siku zote mwarabu huwa anaacha tu ushuzi kwa mbio za kichapo.
 
ha ha ha hata wayuhudi wakipigwa wasije kutafuta huruma ya umoja wa mataifa kama mwaka 2006 ha ha ha wanaandika mkatab wa kusalim amri huku wanatoa machozi ebu kasome operation truethful fanya haraka
Lini ushawahi kusikia wakilalamika kabla ya Holocaust????
 
nenda kasome nani aliomba poo vita vya ardhini vilipigwa mpaka wayahudi wakatishia kutumia mabomu ya nyuklia endapo hezbullah wangeteka eneo lingine ndani kasome tena wewe
we jamaa bhana nakupendaga bure yaana una roho kama ya "SHETANI" usinichukie namaanisha "ya kutokukata tamaa
 
kumbukumbu zako ni chache sana mzee, ngoja tu nikuache uendelee kujifariji. tangu israel aache kuwachapa waarabu1948, ikaja 1967, na vingine v yote, waarabu huwa wanakimbia hadi viatu walivyovaa vinachoropoka wanaviacha. Israel has all the means to tackle all threats from her naighbours na siku zote mwarabu huwa anaacha tu ushuzi kwa mbio za kichapo.
Achana na huyu mluguru. Hivi mkuu huwajui waluguru
 
Eti wanajeshi wa Israel mchele mchele mbona sasa waarabu hawajawanyang'anya nchi na bado waarabu wanaamua kuungana nao.

Ayatollah Khomeini alisema mwaka 1979 kwamba ataifuta Israel kwenye ramani ya dunia hadi leo ni yeye ndiye iliyefutika kwenye ramani ya dunia na Israel ipo.

Hakuna nchi hapo mashariki ya kati anayoweza kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, hizo ni ndoto za mchana.
Unashindwa kuelewa Israel anashikwa mkono na USA.
Iran inashindwa kuingia vita directly na Israel kwasababu inajua NATO itahamia Tehran.
Ila siku Israel ikimuanza Iran kwa full scale war ndipo Israel itaelewa Iran ilishindaje vita dhidi ya Saddam Hussein alosaidiwa na USA na France tena akiwa peke ake na vita ikachukua miaka nane.
Iran achana nao sio waarabu wale.
 
wamekomboa au wameachiwa tu kwasababu ya kelele za walimwengu? hivi unaijua israel unaisikia? syria yenyewe milima ya golan hadi leo wameamua kuiacha tu baada ya kupokwa. hezbolah walijijenga sana wakaanzisha vita israel alichofanya ni kupiga magorofa wanayomiliki lebanon yanayowaingizia hela, tandika miundo mbinu yao yote ya pesa, wakanyoosha mikono, hadi leo wanaogopa wakilianzisha watarudi umasikinini tena. wameufyata. hamas ndo kabisaa, wanajenga gorofa kwa miaka mitano likiisha tu linatunguliwa wanaanza upya, wanajenga handaki kwa miaka 3 linapigwa bom la ndani kwa ndani linajifunika lenyewe, wanaanza tena. hela za kujengea wanazitoa kwa waarabu, hivyo hasara ni yao wenyewe.
Israel ana attack uraiani badala ya kuattack wanamgambo.
Asa km ana nguvu kwann avunje miundombinu badala ya kuwapasua wanamgambo?
 
kumbukumbu zako ni chache sana mzee, ngoja tu nikuache uendelee kujifariji. tangu israel aache kuwachapa waarabu1948, ikaja 1967, na vingine v yote, waarabu huwa wanakimbia hadi viatu walivyovaa vinachoropoka wanaviacha. Israel has all the means to tackle all threats from her naighbours na siku zote mwarabu huwa anaacha tu
Bhana broo muache ubishi tarehe 23 July 2006 Israel ilivamia mji wa bint jubayl ila wakashindwa kuutwaa maana Hezbollah waliwapa kichapo wanajeshi 76 wa Israel walifariki pamoja na makamanda watatu huku Hezbollah ikipoteza wanamgambo 50 na kamanda mmoja na raia 78 kupoteza maisha.
Ingia Google hyo habari ipo Israel ali withdraw mwenyewe bila kuombwa.
ushuzi kwa mbio za kichapo.
 
juzi tu Ijumaa ya week iliopita hio biti waliopewa na Hizbullah walistepback haraka wakaenda mpaka UN wakisema Hizbollah anawachokoza
Mara hii Hizbullah ameshasema mara hii vita itakua tofauti
 
Back
Top Bottom