EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,512
- Thread starter
- #81
Dawa yao inachemkaMuengezee kuwa ndio wanaomiliki Bunge la Lebanon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa yao inachemkaMuengezee kuwa ndio wanaomiliki Bunge la Lebanon
Soma facts sio ushabiki wa huyo jamaaHizo nyundo unazompa sijui kama anakuelewa
Kaka sijakuelewa umelenga kusema nini.
Askari wa Lebanon kaua Hezbollah wawili wakati wa mazishi ya kamanda wa HezbollahKaka sijakuelewa umelenga kusema nini.
Nipambanulie tafadhali.
Mbona wamesema ni unidentified gunmen?Askari wa Lebanon kaua Hezbollah wawili wakati wa mazishi ya kamanda wa Hezbollah
Ingia mtandaoni tena wenu usome habari kamiliMbona wamesema ni unidentified gunmen?
Je walitoa ripoti km hao unidentified gunmen ni askari wa lebanon?
Ngojea niende nikasome ila siwezi kupinga directly maana ht humo serikalini wapo walopiga upatu hizbollah iondolewe ushawishi wa kisiasa lebanon.Ingia mtandaoni tena wenu usome habari kamili
Ngojea niende nikasome ila siwezi kupinga directly maana ht humo serikalini wapo walopiga upatu hizbollah iondolewe ushawishi wa kisiasa lebanon.
ila wakuu hawaliungi mkono maana wanajua watakosa utetezi wa kijeshi na fedha maan hizbollah anamwaga pesa serikalini somehow.
Ni mgambo aliefanya mauwaji yale sio jeshi, jamaa anapata habari kutoka radio TelavivNgojea niende nikasome ila siwezi kupinga directly maana ht humo serikalini wapo walopiga upatu hizbollah iondolewe ushawishi wa kisiasa lebanon.
ila wakuu hawaliungi mkono maana wanajua watakosa utetezi wa kijeshi na fedha maan hizbollah anamwaga pesa serikalini somehow.
😂😂😂😂eti radio tel aviv bro acha kunivunja mbavu.Ni mgambo aliefanya mauwaji yale sio jeshi, jamaa anapata habari kutoka radio Telaviv
Unapigana vita miaka minane yote bado unajiona mahiri kivita na lini Iran ilishinda vile vita dhidi ya Iraq. Wewe unafahamu Wairan wangapi waliokufa kwenye ile vita.Unashindwa kuelewa Israel anashikwa mkono na USA.
Iran inashindwa kuingia vita directly na Israel kwasababu inajua NATO itahamia Tehran.
Ila siku Israel ikimuanza Iran kwa full scale war ndipo Israel itaelewa Iran ilishindaje vita dhidi ya Saddam Hussein alosaidiwa na USA na France tena akiwa peke ake na vita ikachukua miaka nane.
Iran achana nao sio waarabu wale.
Utakua labda hukuisoma ile vita vizuri.Unapigana vita miaka minane yote bado unajiona mahiri kivita na lini Iran ilishinda vile vita dhidi ya Iraq. Wewe unafahamu Wairan wangapi waliokufa kwenye ile vita.
Vipi ule mpango wa 1979 wa Ayatollah kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia ilifikia wapi?
Hezbollah ni sehemu ya serikali ya lebanon ukitaka uimalize vunja serikali ya lebanon.Hezbollah watamalizika soon, na kupotea kabisa, subiri muone, nimesikia kutakuwa na kikundi kikali kuliko ISIS kazi itakuwa kumaliza kabisa Hezbollah.
Hizo ni porojo tu Iran hawaiwezi Israel wewe hata Biblia huijui. Si ajaribu kuifuta kwenye ramani ya dunia aone kilichomnyoa kanga manyoya?Utakua labda hukuisoma ile vita vizuri.
Iran lazma aonekane mahiri kwasababu tatu.
1)Hakuwa na jeshi lililoeleweka ndio kwanza walitoka kufanya mapinduzi hawakua well organized.
2)Iraq ndio iloianza kuivamia Iran tena wakipatiwa msaada na USA ilhali Iran hakuna aliekua akimuunga mkono.
3)Licha ya Iran kutokua na msaada ikiwa na jeshi la mapinduz imehimili vita kwa miaka nane hiyo inajulisha Iraq dhaifu ambayo ilikua na jeshi kubwa kwa wakati ule licha ya kupewa msaada.
Jiulize Iran ingekua kamili gado Iraq ingeingiliwa mpk baghdad.
Miaka nane unaandamwa ww ila hausalimu amri huo ni uanaume ww ht alokuvamia lazma akupe salute.
Ilhali IDF tu mziki wa hezbollah wameshindwa kuuhimili ndani ya siku 33 waka withdraw wenyewe bila kuambiwa.
Iran hawezi kuanzisha vita yeye ilhali anajua Israel ana back up ya NATO.
Na akivamia yeye kwanza inamaan NATO watapata kisingizio bora cha kuiangamiza Iran.
Maana Iran ni tishio kwa maslahi ya USA na mabeberu middle east hivyo hana adui mmoja wazungu na USA pia wana hamu nae sana tu.
Hvyo wanatafta kisingizio madhubuti na km Iran akianza bas utakua mwisjo wake maana wote watamshukia.
Ila Israel iianze Iran km Iraq ilivyoianza Iran mwaka 1979 kesha uone km Israel itabaki.
Maan hapo NATO watasaidia silaha tu ila hawataingilia km ilivyo kwa lebabon.
Maana hawatakua na kisingizio cha kuingilia kijeshi ilhali aloanza Israel.
unaleta masuala ya biblia ilhali hao wazayuni wanaipinga biblia?Hizo ni porojo tu Iran hawaiwezi Israel wewe hata Biblia huijui. Si ajaribu kuifuta kwenye ramani ya dunia aone kilichomnyoa kanga manyoya?
Sio kweli serikali ya lebanon ina jeshi lake wala hyo Hezbollah sio sehemu ya serikali yenyewe ina uongozi wake na inategemea misaada kutoka kwa wafadhili wao ikiwemo iranHezbollah ni sehemu ya serikali ya lebanon ukitaka uimalize vunja serikali ya lebanon.
ndugu hizbollah ina mkono wake serikalini.Sio kweli serikali ya lebanon ina jeshi lake wala hyo Hezbollah sio sehemu ya serikali yenyewe ina uongozi wake na inategemea misaada kutoka kwa wafadhili wao ikiwemo iran