Isome hii kutoka India,jamaa afunga ndoa na nyoka

proffesa issa

Senior Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
118
Reaction score
51
Jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Sandeep Patel amefunga ndoa na nyoka aina ya Cobra,katika sherehe hizo za harusi hiyo zilizofanyika katika kijiji cha Badwapur India ilihudhuria na watu 12,000,lakin kabla ndoa haijafungwa polis waliingia ukumbin na kuwasambaratisha wote waliokuwamo humo na kusababisha ndoa hiyo isifungwe. SOURCE:MILLARD AYO BLOG
 
Vituko duniani havitaisha aseee
 
Allikuwa na mategemeo ya kuwa anamgegeda au.........
 
Mmmhhh....hujabaatisha ata picha proffesa issa maana daaah hainiingii akilini.....
 
Last edited by a moderator:
Jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Sandeep Patel amefunga ndoa na nyoka aina ya Cobra,katika sherehe hizo za harusi hiyo zilizofanyika katika kijiji cha Badwapur India ilihudhuria na watu 12,000,lakin kabla ndoa haijafungwa polis waliingia ukumbin na kuwasambaratisha wote waliokuwamo humo na kusababisha ndoa hiyo isifungwe. SOURCE:MILLARD AYO BLOG
???????????????????.
 
sijui usingizi unaniandama?? jirani nisaidie..amefunga ndoa au hajafunga ndoa huyo mdosi?
 
Back
Top Bottom