ismail aden rage anagombea urais simba?

ismail aden rage anagombea urais simba?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
886
Reaction score
206
Wana jamvi mwenye taarifa za mzee huyu kama atagombea tena simba maana mwaka huu mchuano mkali
 
Nakumbuka juzi walimzomea Tabora tuu... hawezi gombea.!!
 
alshaxema hagombei tena katka mkutano wa mwsho wa simba
 
Jamaa aliwashika sana wanasimba masikio, hata akiboronga vipi Simba wanampigia magoti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom