Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
- Thread starter
- #21
Pole sana kijana. Huu ni mwaka wa 2014, tule tusiri twenu mlio kuwa mnaficha kwa kuandika Kimanga, hatufanyi kazi tena. Sasa ni UWAZI tu. Kama hupendi unacho soma, jiunge na wanao ongoza dunia. You can't beat them, join them.kati ya watu wanaochukia waislam na kuanzisha thread humu JF za mapungufu ya uislam ni huyu muanzisha hii thread, hakika jins unavyouchafua uislam n mm kama muislam, ningekufahamu!!!!!!!!!