🙄🙄Nina form form ya scholarship na masters kwa 2016/2017, naomba mtu yeyote mwenye kutaka kwenda kusoma Islamabad pakistani tuwasiliane nmtumie, ataingia kwenye website ya chuo na kuchagua kozi deadline 29/02/2016, uwe na uwezo wa kujaza maandishi kwenye pdf.
Nenda tu tunakuombea kwa mungu,ni heri niende pemba kwa jechaNina form form ya scholarship na masters kwa 2016/2017, naomba mtu yeyote mwenye kutaka kwenda kusoma Islamabad pakistani tuwasiliane nmtumie, ataingia kwenye website ya chuo na kuchagua kozi deadline 29/02/2016, uwe na uwezo wa kujaza maandishi kwenye pdf.
Mkuu, kuna engineering courses? naomba form hio kwenyevmail yangu citystructuresltd@gmail.comNina form form ya scholarship na masters kwa 2016/2017, naomba mtu yeyote mwenye kutaka kwenda kusoma Islamabad pakistani tuwasiliane nmtumie, ataingia kwenye website ya chuo na kuchagua kozi deadline 29/02/2016, uwe na uwezo wa kujaza maandishi kwenye pdf.
Una uwezo wa kujaza maandishi kwenye pdf?Mkuu, kuna engineering courses? naomba form hio kwenyevmail yangu citystructuresltd@gmail.com
Ndio..Una uwezo wa kujaza maandishi kwenye pdf?
Nakutumia asubuhi mkuu! Unaweza ukaprint ukajaza then unascan ni page tano tu, engineering nahsi itakuwepo mana naona kinamalizia na technology.Mkuu, kuna engineering courses? naomba form hio kwenyevmail yangu citystructuresltd@gmail.com
Pamoja sana mkubwa.. Waiting.Nakutumia asubuhi mkuu! Unaweza ukaprint ukajaza then unascan ni page tano tu, engineering nahsi itakuwepo mana naona kinamalizia na technology.
nitumie tafadhali,sseseme@yahoo.comIli kukimbizana na deadline nimekutumia mda huu jaza na unaweza ukashare na watu wengine wanaopenda kumake hela via scholarship, usinisahau hizo tip za kila mwezi ukifanikiwa,