Isiwe Tabu...

Isiwe Tabu...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,229
Dear Yope,

You think you gotta keep me iced (You don't)
You think I'm gonna spend your cash (I won't)
Even if you were broke My love don't cost a thing
Think I wanna drive your Benz (I don't) If I wanna floss I got my own
Even if you were broke My love don't cost a thing



{Penzi bubu limenishida, nakuachia blanketi lako narudi kwenye mgorole wangu}

And if you worth my love
Would you comfort me .
And if somehow you knew that your love would be untrue
Would you lie to me And call me baby

Here's your bracelet, necklace and keys.

1596249693820.png

TBT Kasinde with her brothers from Unyanyembe (mijitu ya miraba minne).

Kasie Mahaba damudamu.
 
We mke wangu kibibi nini Tena..??
 
We mke wangu kibibi nini Tena..??

Kasie’s love don’t cost a thing...

Penzi bubu limeingia shubiri.

Saa hizi napuyanga kitaa na kaboka tuu.
 
Kasie’s love don’t cost a thing...

Penzi bubu limeingia shubiri.

Saa hizi napuyanga kitaa na kaboka tuu.
Pole Bibi weye hivyo yule dadii sijui haupo nae..?
 
Unaniandikia wimbo wa kizungu umenisomesha wewe

Pole mwayaa, uvumilie tuu kwa leo kesho narudi kwenye lugha ya taifa aahahahahahhaaa.

Natumai hutakosa watafsiri hapa.
 
Pole Bibi weye hivyo yule dadii sijui haupo nae..?

Aaahahhahahaaaaahahahahaaaa

Na weee naweee....!!! Umeanza lini ushakunaku....!!?

Unamfahamu Yope!!????
 
Pole mwayaa, uvumilie tuu kwa leo kesho narudi kwenye lugha ya taifa aahahahahahhaaa.

Natumai hutakosa watafsiri hapa.
Hivi Bibi kasie una masihara na Mimi!! Nakuuliza una masihara na mimi..Yani unataka kunisubirisha hadi kesho nisubiri tu uulete uzi wa kiswahili..!? Hujui kuwa hututendei haki waswahili..eehh😂😂😂 Nakusemea kwa Kaka polisi unavunja sheria🏃🏃
 
Aaahahhahahaaaaahahahahaaaa

Na weee naweee....!!! Umeanza lini ushakunaku....!!?

Unamfahamu Yope!!????
Kwanini nisimfahamu mume mwenzangu..!?
Afadhari kaachia Jimbo..😎
 
Pole mwayaa, uvumilie tuu kwa leo kesho narudi kwenye lugha ya taifa aahahahahahhaaa.

Natumai hutakosa watafsiri hapa.
Mwambie mtafsiri nipo hapa mwambie aje gheto nimfundishe na hiyo lugha kabisa..
 
Back
Top Bottom