Sunni following Shia and supported by shiaHamas is sunni.
dailymail onlineChanzo chako cha habari
proxy hyo...wameshindwa kutengeneza nchi mpya ya levante wamepewa kazi ya kupambana na hamasSunni following Shia and supported by shia
Hayo maelezo ya ISIS mengine Ni propaganda hili kuwagawa waislam, uzuri Tu trump haipendi IS tofauti na utawala wa Obama , ndio maana sasahivi wamepigwa SanaBasi marekani nouma. Yani inaingia Hadi kwa watu wenye imani nakuwafundisha watumie imani Yao kuuana wenyewe kwa wenyewe Tena kwa kuwaelekeza kutoka kwenye kitabu. Huyu mmarekani hatari
Mimi nawasapoti Sana Hezbollah, Shia Na Iran kwa kumsaidia Assad. Assad aliwafanya wasyria waishi kwa umoja Wakristo, Sunni, Shia, kkurds Na Syrian Yezidi.Hayo maelezo ya ISIS mengine Ni propaganda hili kuwagawa waislam, uzuri Tu trump haipendi IS tofauti na utawala wa Obama , ndio maana sasahivi wamepigwa Sana
Sunni following Shia and supported by shia
Yes , ndio hivyo mkuuMimi nawasapoti Sana Hezbollah, Shia Na Iran kwa kumsaidia Assad. Assad aliwafanya wasyria waishi kwa umoja Wakristo, Sunni, Shia, kkurds Na Syrian Yezidi.
Lakini mataifa yenye chuki dhidi ya Iran Na kuiona Iran itakuja kudominate Mideast Israel, Marekani, uturuki, Saudia, Qatar, Kuwait, UAE Na Bahrain kwa maksud wameleta vurugu Na Vita Syria kisa Iran Na ushia.
Saudia wameweka pandikizi kwenye majority Shia Bahrain. Pia Kuna crackdown ya MADHEHEBU ya Shia eastern Saudi Arabia.
Ni kweli kabisa wanapigania Uhuru wa wapelestina.Hamas ni sunni muslims pia ni freedom fighters
Hamas is sunni.
Ok Ok! kumbe Washia siyo Waislamu.