Vikundi vya kigaidi kama Al shabab nk, vinapata wapi fedha za kununulia hizi silaha??kuna kitu kinaitwa "Illegal Arms Trade" katika hii biashara wanaouza silaha ni zaidi ya serikali na nyingi zinauzwa kwenye Black Market haswa through Dark Web.. so usishangae kuona Wasomali wa Al-Shabaab wanatumia silaha za Kimarekani na haimaanishi kwamba silaha zinatolewa na Serikali ya Marekani.
Vyanzo mbalimbali vya fedha kama misaada na michango miongoni mwa wenye utashi na kile wanachokipiganiaVikundi vya kigaidi kama Al shabab nk, vinapata wapi fedha za kununulia hizi silaha??
kwa mimi namba moja,kwa special operation ni,,ISRAEL,kwa mtazamo wangu lakini...Pia ni ukweli usio pingika kuwa marekani ni namba moja linapo kuja swala la special operation.
Wanaogopa nini kifo?Magaidi wote ni WAOGA, na ndio maana wanalipua au wanajilipua huku wamefunika sura na ndio maana wanajificha.
Kama wao ni wanaume kweli si wapambane na wanajeshi wa Marekani au wa nchi nyingine face to face in battle?
Magaidi ni Waoga sanaa kama wanawake.
Sijui.Wanaogopa nini kifo?
Sasa iweje useme wanaogopa halafu hujui wanaogopa nini?Sijui.
The Fear of Unknown.Sasa iweje useme wanaogopa halafu hujui wanaogopa nini?
Kwahiyo wewe mkuu ulitaka wafanyaje ili tuseme hawana uoga?The Fear of Unknown.
Wanaogopa wasichokijua.
Kama wanaogopa Majini ilihali hawawajui wala hawajawahi kuwaona.
Kwahiyo wewe mkuu ulitaka wafanyaje ili tuseme hawana uoga?
Kwa sababu wanachokifanya sasa WEWE umekitafsiri kuwa ni uoga japo hujui wanachokiogopa ndiyo maana nauliza kwamba ni kipi walitakiwa wafanye ili ujue kuwa sio waoga?Kwanini unadhani kuna kitu nilitaka wafanye?