Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,086
- 34,883
fafanua jinc israel walivyounda ISWengi hawajaelewa IS ni nani?nani mfadhili wake mkuu?ajenda yao na wako kwa maslahi yapi?
IS sio kundi lililoanzishwa na waislam km inavyodhaniwa na wengi ingawa wapiganaji wake asilimia kubwa ni waislam!sasa hawa wapiganaji wa IS wako brain washed labda kutokana na maisha duni walionayo pamoja na mazingira waliokulia au kuishi kuwafanya kujawa na chuki na serikali yao au mvamizi.
technically mtu aliye frustrated au miserable ktk maisha yaliyojaa chuki na ukatili hutumii nguvu kubwa kumshawishi apigane na kitu asichokielewa ilimradi tu!
Jiulize je IS kwann hawaipigi israel na iko hapo karibu tu?
hawa IS walishanunua nuclear warhead kutoka india na pakistan kwann wasimjaribu israel na ndo adui mkubwa wa islam?!
Israel ilishadai eneo lote la middle east ni lao je watalirudisha vipi eneo hilo bila kuleta mtafaruku kwa israel?ndo hvyo wakaunda IS
Ok swali zuri sana.fafanua jinc israel walivyounda IS
Kama bhagdad alikua ni shia muslim inawezekanaje kuongoza radical sunni muslim group km IS?ingawa israel wamekua ni wazoefu wa covert operation but kucreate na kufinance group kama Islamic state kwa israel peke yake ni jambo gum sana....ingawa hamna kinachoshndkn chin ya juaOk swali zuri sana.
unamfahamu kiongozi mkuu wa IS?
Alikuwa wapi hapo mwanzo?alikuwa ni mwanaharakati wa kiisraeli akiishi iran na alikuwa katika jeshi la israel pia ukumbuke waisrael wako na dini nyingi ikiwemo waislam wa israel,huyu jamaa hakuwa myahudi ila shiaa islam.ila alisaidiwa silaha na zana zote za kivita kutoka amerika na israel cha kujiuliza IS silaha nzito wanatoa wapi hadi kuweza kuangusha majeshi makubwa ya serikali?tanks na makombora ya hatari.propaganda za media zinaonyesha kwamba IS is most wanted na lazima liangamizwe ila ni tofauti nyuma ya pazia yaani visa vesa.
not simple like thatU.S.A ndiye mfadhili mkuu wa IS,ndo maana Putin alitaka kuingia kwenda kuisambaratisha IS matokeo yake U.S.A wakaanza propaganda chafu dhidi ya URUSI.
(new world order)is it about to come au tuendelee kusubiri?preparation of the NWO
hii kitu haiepukiki kabla ya ule mwisho kuja, tuuachie muda ndio shahidi mzuri(new world order)is it about to come au tuendelee kusubiri?
until then,kwa sasa naona bado sanahii kitu haiepukiki kabla ya ule mwisho kuja, tuuachie muda ndio shahidi mzuri
Wengi hawajaelewa IS ni nani?nani mfadhili wake mkuu?ajenda yao na wako kwa maslahi yapi?
IS sio kundi lililoanzishwa na waislam km inavyodhaniwa na wengi ingawa wapiganaji wake asilimia kubwa ni waislam!sasa hawa wapiganaji wa IS wako brain washed labda kutokana na maisha duni walionayo pamoja na mazingira waliokulia au kuishi kuwafanya kujawa na chuki na serikali yao au mvamizi.
technically mtu aliye frustrated au miserable ktk maisha yaliyojaa chuki na ukatili hutumii nguvu kubwa kumshawishi apigane na kitu asichokielewa ilimradi tu!
Jiulize je IS kwann hawaipigi israel na iko hapo karibu tu?
hawa IS walishanunua nuclear warhead kutoka india na pakistan kwann wasimjaribu israel na ndo adui mkubwa wa islam?!
Israel ilishadai eneo lote la middle east ni lao je watalirudisha vipi eneo hilo bila kuleta mtafaruku kwa israel?ndo hvyo wakaunda IS
Only a reasonable one can clearly understand what I have said.not simple like that
may beOnly a reasonable one can clearly understand what I have said.
preparation of the NWO
We ukitaka Google "Hillary Clinton's confession on IS and alqaida creation"fafanua jinc israel walivyounda IS
Mkuu acha uongo.Wengi hawajaelewa IS ni nani?nani mfadhili wake mkuu?ajenda yao na wako kwa maslahi yapi?
IS sio kundi lililoanzishwa na waislam km inavyodhaniwa na wengi ingawa wapiganaji wake asilimia kubwa ni waislam!sasa hawa wapiganaji wa IS wako brain washed labda kutokana na maisha duni walionayo pamoja na mazingira waliokulia au kuishi kuwafanya kujawa na chuki na serikali yao au mvamizi.
technically mtu aliye frustrated au miserable ktk maisha yaliyojaa chuki na ukatili hutumii nguvu kubwa kumshawishi apigane na kitu asichokielewa ilimradi tu!
Jiulize je IS kwann hawaipigi israel na iko hapo karibu tu?
hawa IS walishanunua nuclear warhead kutoka india na pakistan kwann wasimjaribu israel na ndo adui mkubwa wa islam?!
Israel ilishadai eneo lote la middle east ni lao je watalirudisha vipi eneo hilo bila kuleta mtafaruku kwa israel?ndo hvyo wakaunda IS
Israeli and Romanian ammunition captured from ISIS | Veterans TodayNipe source inayo onesha isis walinunua nuclear warheads kutoka india na Pakistan. Ebu tuache conspiracy theories. Isreal pale middle east ndo jeshi linaloogopeka zaidi. Isis wanajua tukiichokoza isreal ndo utakua mwisho wetu. Jiulize kwanini al Qaeda na Taliban hawaishambulii isreal? Au nayo ni makundi ya isreal? isreal wana uzoefu sana wa kupigana na hivi vikundi vya kiislam sio sawa na Russia au usa. Isreal imeshipiga sana vikundi vya namna hii (Hezbollah, hamas) ndo mana hawaguswi