ISIS kwisha habari yao

ISIS kwisha habari yao

ISIS and islamic caliphate...ilipoanza Syria waliwapa hadi sapoti ili Assad aondolewe madarakani...wakawapa silaha hadi morol support....na baraza la waasi likapewa baraka na EU now Assad kawarudisha nyuma..wameanza kuadvance na kubadilisha agenda..they want so called caliphate of islam. kufeli kwa serikali ya iraq...majeshi ya iraq km infantry hakuwezi kuiondoa caliphate through air and navy...infatry ndiyo wanaoweza kuwasogeza nyuma au labda iwe ni movement ya kuwasaidia watu waliokwama kwenye milima.....ISIS was there before na walisaidiwa sasa hadi wameteka makambi ya jeshi ndio wanajua kuwa sio...these are very strong militias.
 
Back
Top Bottom