ISIS: Habari, picha na maelezo


Kuuwa watu ndio kujitetea? kama unajitetea kwa nini usitafte wabaya wako badala yake unaenda kuuwa wasio na hatia wakiwa msikitini au kanisani au shuleni, huo ni uoga na upungufu wa akili maana anaejitetea hutafta wabaya wake na sio wasio na hatia.

Jambo lingine kwa hiyo mnahalalisha mauaji kisa wakristo wanaruhusu wanaume kuoana, kwa hiyo mwanaume kuoa mwanaume mwenzake =Kifo kwenye uislam? Hii ni dini ya ajabu kwa kweli.

Wanaume wakioana wewe inakuhusu nini, maana kama ni dhambi wamemtendea mungu kwa nini msimuachie mungu mwenyewe ashugulike nao,wewe inakuhusu nini,wewe ni mungu?kwa ni ni ufanye kazi ya mungu au mungu huyo hawezi kufanya kazi yake ni [FONT=arial, sans-serif]incapacitated?

Mungu asie weza kufanya kazi yake mwenyewe na kutegemea watu wamfanyie mimi simtaki na hawezi kua aliniumba, angekua ameniumba angeweza kufanya kazi yake mwenyewe.


[/FONT]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…