TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
Kama wamewapelekea bado hawajawakomoa kwa sababu hawa jamaa wanapigna ili wafe...kwanza kabla hajafa atahakikisha kuwa ameshambukiza watu wengi sana....
Watakuwa wamewapunguzia mzigo wa kubeba mabomu ya kujitoa mhanga.....
Hii naifananisha na TV series moja inaitwa "The Walking Dead"....Sipati picha maafa yatakayotokea endapo Ebola ikiwapata sawasawa hawa ISIS...patachimbika sana. hakuna wa kumsaidia mwenzake kutokana na vita inayoendelea. I guess, they deserve it...
NIMEIPENDA HII KWELI HAWA ISIS NI WASHENZI SANA na kwa ukali wa ebola isis watakwishilia mbali pumbavu zao/thanks ubunifu huu hata al shabab wangepelekewa tu!/ingawa italeta maangamizi mengi ktk muda fulani lakini mwisho wataishi raha mustarehe
Isis kama wana ebola ni janga la dunia. Hawa hawana cha kupoteza! Hata wamarekani watakimbia maana watausambaza kwa makusudi na hivyo hawatakwisha peke yao. Ripot zinaonyesha ISIS wanamiliki pesa dola bn2 sawa na karib Tsh 3.5 trillion ambazo ni hela nyingi sana. Hata kundi kongwe la Alqaed hawana hizo hela!
#wengi wataangamia lakini hatimaye hali itakuwa shwari why?
*ebola ita disorganise wahusika wataanza kuogopana wao kwa wao pia nakataa eti wapo tayari kufa saa yoyote tusijidanganye kwa hilo,na ndio maana #wanapenda kutumia mabomu bomu lina ku~blackout imediately so unakufa with no pain just like closing an eyes/pia wao kupata ebola haiwezi kuwa janga la dunia,
Kama wamewapelekea bado hawajawakomoa kwa sababu hawa jamaa wanapigna ili wafe...kwanza kabla hajafa atahakikisha kuwa ameshambukiza watu wengi sana....
Watakuwa wamewapunguzia mzigo wa kubeba mabomu ya kujitoa mhanga.....
Kweli mkuu....wapumbavu fulani wanadhani ndio wamewakomoa ISIS kumbe ndio wamewapunguzia mzigo wa kubeba makombola na mabomu ya kujitoa mhanga...wataacha kuvaa magwanda na kuanza kujimix na watu na kuusambaza kwa wingi na kuzidi kuleta maafa zaidi...kwanza ikumbukwe kuwa hawa jamaa uhai si kitu cha thamani kwao ndio maana wanavaa mabomu na kujilipua huku akijua wazi kuwa na yeye ni miongoni mwa watakaofariki.....sasa unamletea ugonjwa kama ambao anakufa akiwa softi kabisa si ndio kwanza atakushukuru.....
Watu wanadhani huu ugonjwa ukiwafikia alishabaab kenya itakuwa salama....jambo ambalo si kweli....
Ni kwa nini kila tukio mnatukana America?
Isis mnasema ni jeshi la Marekani - upumbavu mtupu.
Leo ISIS imesikika kuna ebola, inakuwa america kapeleka.
Huu si wendawazimu?
Kwa nini msione kwamba wanaweza kupata kwa njia ya kawaida tu?
Wanachukua wapiganaji kutoka sehemu zote duniani.
Wanasafiri kwa siri sehemu nyingi duniani kuendesha mafunzo yao ya kishetani.
Wanakamata na kutesa watu ovyo kama walivyokuwa wamemshika yule Pilot na alikuwa anableed.
Wanapochinja watu wanakuwa wanajilinda na maambukizo?
Wanapowarundika mateka wao kwenye mahabusu wanakuwa wamehakikisha wakok ebola free? Na hao walinzi wanatahadhari yoyote?
Acheni utumwa wa fikra. ISIS, kwa wanavyofanya kazi ni zaidi ya kawaida kupata maradhi kama ebola kwa kuchezea watu na damu zao na ukimwi kwa ubakaji.
Kama wanataka kufa, kwa nini wanajilinda? Si wakae watikitwe ili wafike jehanam mapema?
Mwone aibu kutokutumia akili na kuona kila linalotokea America kafanya. Wehu!
By the way, kama wamepata Ebola, acha yafe. Mashetani makubwa usoni pa nchi!. Kwa nini wanakwenda kutafuta tiba Iraq hospitalini?
Kumbe wanaamini kuishi kwema?
Pumbavu kabisa!.
Kweli mkuu....wapumbavu fulani wanadhani ndio wamewakomoa ISIS kumbe ndio wamewapunguzia mzigo wa kubeba makombola na mabomu ya kujitoa mhanga...wataacha kuvaa magwanda na kuanza kujimix na watu na kuusambaza kwa wingi na kuzidi kuleta maafa zaidi...kwanza ikumbukwe kuwa hawa jamaa uhai si kitu cha thamani kwao ndio maana wanavaa mabomu na kujilipua huku akijua wazi kuwa na yeye ni miongoni mwa watakaofariki.....sasa unamletea ugonjwa kama ambao anakufa akiwa softi kabisa si ndio kwanza atakushukuru.....
Watu wanadhani huu ugonjwa ukiwafikia alishabaab kenya itakuwa salama....jambo ambalo si kweli....
unadhani Ebola ni sawa na maralia....!!?
cut the cr.a.pTaarifa ingine kutoka New york times inasema ebola wametengeneza wai ISIS na inasemekana wana akiba kubwa ya vijidudu hivyo .
Pia wao peke yao ndio wenye anti dot ya ebola.
Na taarifa za ndani kabisa ya kundi hilo inasemekana wao ndio wameleta Ukimwi na dawa yake wanayo hivyo kuna mazungumzo yanaendelea na WHO kuwaomba watoe hio dawa na wao wataachwa waichukue syria na iraq