Hawa watu ni washenzi na mashetani wakubwa yani inakuaje unamchnja mtu ambaye amejitolea kutoa misaada kisa Mwingereza,sio kama upunguani na urofa!
FYI hizo ndio tacktick wanazo tumia USA na UK ili washambulie nchi na hio ISIS ni kikosi ambacho kinafata amri an sheria za USA, hio ISIS wapi na wapi na Uislam.
Kumbukeni hata Paulo mtume wawakristo alikuja badilisha sheria za Yesu na Mussa, Yesu alisema hakuja badilsiha sheria ya Tourat, mtume wa wakristo akasema Yesu ni mjinga yeye ndio ana akili zaidi, lazima mmefata wakristo wote.
Sa hawa USA na UK watashindwa kuchinja watu kwa kutuma kikosi chao cha ISIS amabacho dunia nzima wanajua wao ndio wamekianzisha, ili wapate kuwadanganya wananchi zao. Ni yale yale aliyo yafanya Paulo alipokuja kuitukana Tourat ya Musa akasema ina laana.
Romans 7:6
6 But now we are released from the law, having died to that which held us captive, so that we serve in the
mnew way of
nthe Spirit and not in the old way of the written code.
3
Warumi 7.6 6 Tusemeje, basi? Torati ni dhambi? Hasha! Walakini singalitambua dhambi ila kwa sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati isingalisema, Usitamani.
Hata hivyo naendela na msimamo wangu USA hawezi kusogea Syria anajua kitu gani kina mgoja, Syria ana marafiki ambao wako tayari kusimama naye kwa kila kitu, mtanza kuona taratibu kuna nchi zinajitoa na zitamuwacha USA peke yake, kwenye vita hio anayo itafuta.