BlackItaliano119
Member
- Oct 28, 2012
- 16
- 4
Yani kuna ule msemo unasema binadamu kapewa akili kuliko mnyama, lakini kwa wakristo mnyama kapewa akili kuliko binadamu. Vipi mtu afananishe MUngu na binadamu hahaha.
رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ (البقرة 201 ) Mola wetu Mlezi, tupe duniani mema, na Akhera mema, na utulinde na adhabu ya Moto (Al-Baqara 201)
Wacha nikupe Aya ya Quran itakusaidia soma kijana.Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.
Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.
Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.

Wakuu habari zenu,
Naomba wale ambao mawazo yao hayafungamani na imani yoyote tujadili hili jambo na pengine tupate kujifunza kitu kama si vitu.
Wengi wetu hapa jamvini mnatambua kuchinjwa mwandishi wa kujitegemea raia wa Marekani JIM FOLEY nchini Iraq. Cha kushangaza zaidi ni kuwa alitekeleza kitendo hiki ni raia wa Waingereza ambaye ni mpiganaji wa kundi la ISIS anayetambulika kwa jina la john ambaye ni mkazi wa London.
Mauaji ya West nchini kenya tuliambiwa kulikuwa na raia wa mataifa mbalimbali ya magharibi wakiwakirisha Alshabab, Je dunia itashinda hii vita ya ugaidi? Boko haram Nigeria wameendelea kufanya kila wanachotaka wanaua wanayetaka, wanateka wanayetaka. Leo hii wasichana zaidi ya 200 kutoko jimbo la Bono huko Maidugul wanashiliwa, pia juzi zaidi ya vijana 90 walitekwa na kuchukuliwa. Kama haitoshi mke wa naibu waziri mkuu wa Cameroon na mtoto wa chief wa jimbo moja huko Cameroon wako mikononi wa hawa jamaa.
Wote tumesikia Vijana wa Kitanzia waliokamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Alshabab. Nihitimishe kwa kusema naiona dunia kama siyo mahali salama tena, kama dunia siyo salama Tanzania haiko salama pia. Najua wengi wengi mnatakuja na hoja zile zile za udini lakini tukumbuke hakuna aliye salama siyo Mkristu,muislam ama mpagani aliyesalama.
Tunamuona John anamchinja Jim kwa haraka haraka tutasema wote ni wakristu, na ikiwa ndivo tatizo liko wapi? Nina mengi ya kuandika lakini ngoja niachie hapo, ili kupata mchango ya wadau.
Hapa ni baadhi ya Waingereza walioko Iraq na Syria
Source:telegraph
Wacha nikupe Aya ya Quran itakusaidia soma kijana.
Sahih International
Invite to the way of your Lord with wisdom and good instruction, and argue with them in a way that is best. Indeed, your Lord is most knowing of who has strayed from His way, and He is most knowing of who is [rightly] guided.
haina shida mungu wao baada ya kuuawa alifufuka na kupaa ila mtume wetu wa mnyaaz mung baada ya kubaka kile kitoto sijui atafanywa nini lakini alituagiza tumswalie ili apunguziwe adhabu na alah akiamini sisi ni wasafi kuliko yeye.Mleta mada mbona huwalaani wayahudi waliyemteka nyara mungu wetu badae wakampa makofi na kumtundika msalabani baada ya kumla GOTI
Hahaha unachekesha we kwanza kabla ya kuvamia hauna tutakacho pata wewe Mungu wako nani, Mungu au Yesu? Chagua mmoja huwezi kuw ana Miungu wakati kuna Mungu kabla ya Yesu:A S wink:Umekurupuka sheikh! Hakuna mema mtakayopewa huko akhera, ninyi kiberiti ndo size yenu na huyo aliyewaachia hizo hadithi mnazoziamini sasa hivi alishakuwa majivu!! Katuletea taabu sana hapa duniani!
Si lazima usi itambue Quran, wewe kwani ni wewe tu Mungu alikuleta duniani peke yako hapa, wacha sisi tuitambue mana ina faida kuliko utumbo wa Paulo.Hiyo quran mimi siiamini wala siitambui. Ninachokisema ni kile kinachoonekana dhahiri katika maisha ya wenye imani ya qurani. Ukitaka guran ionekane ni kitu cha upendo, fundisha upendo, simamia upendo, demonstrate upendo. Huwezi kulazimisha watu waamin quran ni kitu cha upendo na amani wakati wafuasi wake wanafundisha chuki na mauaji, wanahimiza na kusimamia chuki na mauaji, wanatetea misimamo ya chucki na mauaji, hawajawahi kukemea wala kuyakataa makundi ya chuki na mauaji, na wote wanaofanya chuki na mauaji kama ISIS wanakirii wanafanya hivyo kwa kufuata quran na uislam.
Go away!.
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.
Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.
Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.
Hahaha unachekesha we kwanza kabla ya kuvamia hauna tutakacho pata wewe Mungu wako nani, Mungu au Yesu? Chagua mmoja huwezi kuw ana Miungu wakati kuna Mungu kabla ya Yesu:A S wink:
Hahaha nyani huw ahaoni mku ndu wake.Wewe kwanza ni mwarabu, hii dini ya Mwarabu kenge katoka wapi?
Hapa mtume kaletwa kwa watu wanaoongea kiarabu (Waarabu)
Sahih International
And We did not send any messenger except [speaking] in the language of his people to state clearly for them, and Allah sends astray [thereby] whom He wills and guides whom He wills. And He is the Exalted in Might, the Wise.
Surat 'Ibrahim [14:4] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.
Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.
Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.
Tutabaki hivihivi yule sio,yule ndiyo huku watu hufanya yao.Na sijui zile ndoa za mashoga/wasagaji kwenye nyumba za ibada utazikataa vp!