ISIS bans math and social Studies for children

ISIS bans math and social Studies for children

TanzaniaLaw

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,298
Reaction score
482
DUBAI: Thousands of children in swaths of war-torn Syria, now controlled by dreaded Islamic State militants, can no longer study math or social studies under new diktats issued by the jihadists.

While sports is banned, the children will not be allowed to learn about elections and democracy.

Instead, the children will be subjected to the teachings of the radical Islamist group. And any teacher who dares to break the rules "will be punished."

ISIS announced its new educational demands in fliers posted on billboards and on street poles, CNN reported.

The Sunni militant group has captured a slew of Syrian and Iraqi cities in recent months as it tries to establish a caliphate, or Islamic state, spanning Sunni parts of both countries.

In the letter, ISIS said alternative courses will be added.

It also said teachers must erase the phrase Syrian Arab Republic, the official name of Syria, and replace it with Islamic State.

Educators cannot teach nationalistic and ethnic ideology and must instead teach "the belonging to Islam ... and to denounce infidelity and infidels."

Books cannot include any reference to evolution. And teachers must say that the laws of physics and chemistry "are due to Allah's rules and laws."

The letter ends with a firm warning: "This is an obligatory announcement, and all violators will be punished." 200 Syrians killed in one day.

Source:
timesofindia

ISIS bans math, sport, social studies for children - TOI Mobile | The Times of India Mobile Site
 
Kuna mtu mwenye akili timamu atawaunga mkono hawa watu kweli!!!?.
Unakataza hesabu isifundishwe hiliali unaitumia kila siku katika maisha!!!.
Hata bunduki na mabomu wanayotumia,hesabu imechukua sehemu kubwa.
 
Hai ISIS ni evolution ya jeshi la yesu lilikuwa kazi yao kuua kila asiekua mkristo na mzungu.
Kundi likiungwa mkono na Wakristo huko marekani kuua Waafrika na kutaka kuanzisha utawala wa yesu huko marekani . Kundi la damu ya yesu lilichafua sana haiba ya marekani na ukristo.lilipigww marufuku lakini wapenzi wake wapo katika vyama vya democrat na republican.
Neo cons waliopo serikalini ambao lengo lao la kuitawala dunia haitowezekana bila kuupiga vita uislam.hiivyo wameirejea sera ya Jeshi hilo la yesu kwa kuunda ISIS wanajua sera ya ISIS ambayo ni ya jeshi la yesu KKK itatumika vyema kuuchafua uislam na hatimae lengo lao la kuupiga vita ya kweli itimie.
Lakini Walah uislam ni kama hewa inavisambaa na inapenya kila sehemu kuupiga vita unajisumbua.
Hili ndio jeshi la yesu
 
Attachments

  • 1411361736953.jpg
    1411361736953.jpg
    78.6 KB · Views: 109
Hii Kali, adui yako wa vita ndio akuandikie habari
 
Hii Kali, adui yako wa vita ndio akuandikie habari

Mkuu hawa jamaa wanaamini anything. Yaani ni vituko. Wao hawajiulizi ni nani anae wa supply Silaha za Kisasa, Brand new Cars and other logistics.

Hebu fuatilia hapa kwa makini.

WHY DID THE WEST CREATE ISIS WHEN THEY ALREADY HAD ZIONISM?

September 15, 2014 at 10:28 (Corrupt Politics, Cover Up, False Flags, Iraq War, Israel, Terrorism)

Even Jon Stewart can't take the ISIS ‘threat' seriously …. why should we? More and more people are waking up to the fact of who the real enemy really is.​
*
ISIS: ‘American-Zionist Tool' for Dismembering Iraq (Sotal Iraq, Iraq)​
*
If America had been truly serious about putting Iraq on the right path and instituting a genuine democracy, it would have issued legislation to protect human dignity and the right of the people to live within a framework of liberty, peace, security and safety! Instead, the United States did just the opposite, disrupting Iraq's civilizational project.
"Strangely enough, America today is fighting ISIS, and has sent experts to Iraq for that very purpose. For whom? For the love of Iraqis? And for whose benefit does America support ISIS and provide it with weapons in Syria? For whose benefit does it support the al-Nusra Front? … Today it is essential for us to stand against, pay careful attention to, and analyze carefully, all American and Israeli plans. We must all join to defeat their criminal designs for undermining Iraq, and their tool of implementation, ISIS."

Last edited by a moderator:
Hata KKK jeshi la yesu dhidi ya ustaarab na uafrika (wao waliwaita Negros) walikua na msalaba mkubwa kama na ndio alama yao.
Mie sukutukani kizungu.lakin8 mjinga ni yule alienda shule lakini akasujudia sanamu elimu yake haikumsaidia kitu

Je na Yule aliyeenda shule lakini akawa anazunguka mawe na kuyasujudu basi atakuwa ni mlemavu waakili pia
 
Je na Yule aliyeenda shule lakini akawa anazunguka mawe na kuyasujudu basi atakuwa ni mlemavu waakili pia

Bila ya shaka unazungumzia ibada ya hijjah kule Maka. Hapo kuna tofauti kubwa sana kawani hapo waislam huwa wanarejea yale walofanya wazee wake Yesu uko wa Ibrahim na wanawe . Ni kisa cha aina yake kwa Mtume Ibrahim kuwa mchamungu kiasi alikua tayari kumchicha motto wake kufata amri ya Mungu, Pia ni kurejea mzunguko wa Mke wa Ibrahim kutafuta maji kwa ajili ya mama yake ..hapo kuna mafunzo mengi kuhusu ucha muungu na mapenzi ya mama na mwanawe …ukiyarejea haya huwezi kumtupa motto wako na leo tukawa na machokoraa kibao na watoto wa mitaani…Hijja ni kujikumbusha walofanya Mitume na watu wema ambao ni wazee wa Yesu MTUME.

Mwenyezi Mungu ameifanya al-Kaaba kuwa ni nyumba tukufu na ni wasila wa kusimamisha amani miongoni mwa watu, na akaifanya Hijja kuwa ni msimu wa ibada na ni fursa ya Waislamu kutoka kila upande kukutana na kufahamiana, na pia wafahamishane mambo muhimu ya Dini yao na kuzichunguza hali zao.
Basi mambo haya baada ya Ibada ni miongoni mwa uthibitisho dhahiri wa kauli ya Mwenyezi Mungu aliposema:
"Na ili washuhudie manufaa yao"
Qur'an, 22:28​
Basi ni manufaa yepi makubwa baada ya ibada kuliko Waislamu kukutana mahala pamoja ambapo wameacha kila hisia ya dhati na jamii na mipaka ya kitaifa na kimataifa na rangi, bali Waislamu wote hufunikwa na kivuli cha Dini na kupambwa na hisiya za upendo pia moyo wa udugu wa kweli?
Na ni mas-ala gani muhimu kuliko Waislamu kufahamishana hatari na matatizo yaliyowazunguka, na wakaeleweshana namna ya kuyatatua kwa pamoja na kwa nguvu moja na azma ya pamoja ili kuyaondoa au kupunguza uzito wake?
 
Membership of the Ku Klux Klan rose to around 5 million during the 1920's. Joseph Simmons, leader of the Klan, described the organisations views as:
We exclude Catholics because they owe allegiance to an institution that is foreign to the Government of the United States

Kwa hakika ujio wa ISIS huko Iraq na Syria hausiani na waislam na uislam . Hili kundi ni Evolution ya KU KLUX KLAN, KKK ambalo ni kundi la wakristo wajiatao wazalendo na waliwatoa wakatoliki Katika ukristo , sawa na ISIS wana vowachukia Mashia na wengineo.
Ni kundi limeundwa na wamerekani kufata theory zile zile za KKK za kuua na kukata vichwa kwa lengo la kutisha na kuwatisha Wafrika ambao wao ndio waliwapa jina la NEGRO.

Walifanya uhalifu mkubwa akwa jina la Yesu na msalaba…..na kuipaka damu dini ya ukristo kwa manufaa ya uyahudi.
Waliua waafrika wengi sana na walifanya ushenzi wa hali ya juu kabisa.sawa na ISIS .
Sasa kuna vita ya kuupiga uislam inayoongozwa na marekani na wengi wale memba wa KKK bado wapo na wame create ISIS kwa kutumia Converts wa uongo na kuleta fujo mauaji na ushenzi kwa jina la uislam wana fanya kama vile wali vofanya KKK kule marekani miaka ya uhuru wa watumwa.
Wamesilimisha wazungu kimpango na kujifanya wao wanaujua uislam kuliko wale waislam walozaliwa nao.
Kuna zaidi ya convert 5000 ambao wanatoka UK, USA NA France kwenye kundi hili Ku Klux Klan Ambalo limechukua jina la ISIS .Hili ni kundi lao kwa malengo maalum.
Wapo waislam wengine wanaingizwa katika ujinga huu kwa kudanganywa kuwa kuna jihad ..kumbe hawa ISIS ni KKK inayofadhiliwa na FBI NA MOSAD.
Utasikia wamepigwa mabomu lakini hutosikia wale viongozi wao na convert kuuliwa , in fact wale wajinga waloingia bila ya kujijua wana cheza mchezo wa KKK basi wao hushambuliwa na Ndege za marekani kwa kupewa logostics na hao converts…Tufikiri na kupanua akili zetu..mabeberu hawana dini usidhani wewe mkristo mwafrika anakupenda ..akiwamaliza waislam beberu atakuja kwako mwafrika ..Think!!!!
TUJIKIMBUSHE KWA PICHA ISIS NA KKK:-

06c1fadd9a5608d5486a7bceef7f6dcd.jpg14.jpg428px-Washington_hanging_1916-cropped.jpg1911_Lynching.jpgblack-people-lynched11.jpgblack-white-leo-frank-lynching.jpgimages.jpgwhite-lynching-party.jpgwhite-lynching-party.jpgt-lynching-jpg.jpgSAME AS ISIS.jpegrare-press-photo-of-leo-frank-lynching-august-17-1915.giflynching.jpgKKKK.jpgKKKCROSS.jpgKKK9.jpgKKK6.jpgkkk4.jpgKKK0.jpgkkk_1924.jpgKKK MANY.jpg

sasa watazame ISS !! ...WOTE SAWA ...NI WALE WALE WALOKUA WAKIUA WAAFRIKA....
ISSS.jpgISSO.jpgISS.jpgISIS2.jpg
 
Hai ISIS ni evolution ya jeshi la yesu lilikuwa kazi yao kuua kila asiekua mkristo na mzungu.
Kundi likiungwa mkono na Wakristo huko marekani kuua Waafrika na kutaka kuanzisha utawala wa yesu huko marekani . Kundi la damu ya yesu lilichafua sana haiba ya marekani na ukristo.lilipigww marufuku lakini wapenzi wake wapo katika vyama vya democrat na republican.
Neo cons waliopo serikalini ambao lengo lao la kuitawala dunia haitowezekana bila kuupiga vita uislam.hiivyo wameirejea sera ya Jeshi hilo la yesu kwa kuunda ISIS wanajua sera ya ISIS ambayo ni ya jeshi la yesu KKK itatumika vyema kuuchafua uislam na hatimae lengo lao la kuupiga vita ya kweli itimie.
Lakini Walah uislam ni kama hewa inavisambaa na inapenya kila sehemu kuupiga vita unajisumbua.
Hili ndio jeshi la yesu

Hhahaha, umjui Yesu wewe, ujui Upendo wa Yesu wewe, Ujui kwamba nick name yake ni Mfamle wa amani kwa kufundisha Upendo. Pole sana
 
Mkuu, ISIS wanatumia verse hizi, ISIS ni waarab na ndiyo wanaelewa vizuri uislam kuliko wewe ulieletewa enzi za utumwa

Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.
Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Sura 9:29
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii
 
Hhahaha, umjui Yesu wewe, ujui Upendo wa Yesu wewe, Ujui kwamba nick name yake ni Mfamle wa amani kwa kufundisha Upendo. Pole sana

Huelewi kinacho zungumzwa hapo juu. Unaparamia tu .
 
Mkuu, ISIS wanatumia verse hizi, ISIS ni waarab na ndiyo wanaelewa vizuri uislam kuliko wewe ulieletewa enzi za utumwa

Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.
Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Sura 9:29
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii

0.0005% ya maandiko yote ...

TanzaniaLaw Sadagada crabat

Hii inaitwa food for the foolish.
Wooooows, people.

Let us continue with Kadhi inhumane effects. I want to alert the readers of JF/Tanzania about the confusion the defenders of Sharia law create. They hide the violent laws behind sugar-coated sweet words by sidetracking critical issues and hiding facts such as:-The Sharia courts do not apply "path to flowing water" (the linguistic meaning of the word Sharia); they apply the laws written in the Sharia books.

  1. The "six values of Sharia law" are only lip-service; those are not reflected in crucial Sharia laws.
  2. The claim that "FGM (Female Genital Mutilation) is only cultural" is bogus. FGM, one of the most dangerous and brutal practices in human history, is supported by 3 Sharia laws; six Sahi Hadises and the "List of Enormity against Islam" by Imam Ibn Hajar Haytami.
  3. The claim that "Honor killing is cultural" is partially false. The Qisas law of Sharia encourages Honor Killing.
  4. Except the Quran there are at least ten human sources of Sharia law. So, the cry against secular "manmade law" is foul.
  5. There are more than six thousand laws in each of Hanafi and Shafi'i law books but only thirteen were clearly ordained by God and Prophet. All the other thousands of laws are manmade. So the cry against secular "manmade law" is foul.
  6. People's opinion was never reflected in the making the laws.
  7. Women's opinion was never considered in framing the laws. There is not a single female Sharia-Imam in history. It was always men who decided how women must live and die.
  8. There was never any empirical study of the impact of Sharia law on human life.
10. There are Sharia laws that violate the Quran and Prophet. Those are purely anti-Islamic.
11. The four Imams of Sharia law (Imams Abu Hanifa, Shafi'i, Malik and Hanbal) wrote little; political and patriarchal clergies added their laws after the Imams had passed away.
12. The Imams never claimed their laws as divine; nor did they allow their use as State law.
13. The first impact of four kinds of "god's law" was violent fragmentation of Muslim society. Followers of one Imam wouldn't pray behind followers of other imams, marriage between Shafi's and Hanafis was banned, Imam Shafi'i was beaten to death by Malikis, Imam Hanifa was poisoned to death in prison – the list of violence is long.
14. Muslim women are the primary victims of sharia law. The claim that "Sharia law is Islamic" destroys Islam's image as a religion of peace and justice.
One of the first major conspiracies against Islam was changing the meaning of the Quranic word "Sharia" from "Moral Guidance" (which complies with the definition of the Quran and life-mission of all Prophets) to State law. Muslims, especially women, paid heavily for this crime. Is it possible to reform Sharia law? The committee of Justice Majida Rizvi (the first female judge in a Pakistani High court) examined it and finally observed that such reformation is impossible. Some scholars "negotiate" with Sharia law but what is the theo-mechanism to safely negotiate with a vice? Why must we "negotiate" with violence?

I urge all good people to ask one single question to believers of Sharia law – Show your laws !
 
Back
Top Bottom