Isimu

leprincess

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
282
Reaction score
456
Ni nini tofauti kati ya lugha mama na lugha ya kwanza?
 
Mara nyingi majina yote yanataja yaleyale. Lakini kuna mifano kadhaa ambako kuna tofauti. Mfano mtoto halelewi na mama basi lugha yake ya kwanza si ya mama. Au Baba na Mama hutumia lugha tofauti mara nyingi mtoto anakua kuwa na lugha mbili za kwanza. Lakini kama mazingira yote inatumia lugha ya baba (yaani mama ni mgeni katika mazingira familia inapoishi) basi lugha ya baba itakuwa lugha ya kwanza.

Lugha ya kwanza - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…