Ishue ya mafao BBC live, NSSF, PPF

Ishue ya mafao BBC live, NSSF, PPF

Wengine hatuna redio, mwaga hata outline ya kilichozungumzwa.
 
Hii serikali isituletee ujinga na watu tutapigwa ban hapa! Ebo
 
kwa ufupi Harold Sungusia na shirika la haki za binadamu LHRC wamesema wanafungua kesi kuishtaki serikali! Msemaji wa mifuko ya hifadhi anatetea mfumo huo!!
 
From BBC swahili

TZ: Wanasheria nchini Tanzania wanajipanga kuiburuza serikali ya nchi hiyo mahakamani. Kwa mujibu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu, lengo la hatua hiyo ni kupinga mabadiliko yanayotokana na sheria ya usimamizi na udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo kuanzia sasa haitaruhusu mwanachama wa mfuko wowote kuchukua mafao yake mpaka atakapofikisha umri wa kustaafu ambao ni kuanzia miaka 55.
 
kwa ufupi Harold Sungusia na shirika la haki za binadamu LHRC wamesema wanafungua kesi kuishtaki serikali! Msemaji wa mifuko ya hifadhi anatetea mfumo huo!!
Yaani upunguzwe kazi ukiwa na miaka 30 then usubiri miaka 30 mingine kupata pesa yako, kweli hii ni serikali ya ****nge.
 
Sina hamu na hii serikali! Pesa yangu halafu muigomee! And I need it in 2 month. Silly Govt
 
hey my fellow Tanzania, lets wake up and stop complaining!!!!! AAAGR**

Tuchukue hatua, tufanye vitendo ambavyo serikali na wabunge wataamka na kujua alaa kumbe watz sio waoga tena.

Mgomoooo na maandamano sekta binafsi na umma.

Kwanza inatakiwa Mabasi yote na vidala dala vyote vigome kuanzia saa kumi na mbili asb.

Pili siku hiyo tunaandaa square za kukutana. Hata mapolisi nao wataishiwa nguvu, maana nguvu ya umma itakuwa kubwa.

Divided we fall, united we stand!!!!!!!!!

jamani tuwaunge mkono hawa wana harakati mana naona ccm wamemaliza pesa zetu sasa wanataka kutubana sisi wafanyakazi
 
hey my fellow Tanzania, lets wake up and stop complaining!!!!! AAAGR**

Tuchukue hatua, tufanye vitendo ambavyo serikali na wabunge wataamka na kujua alaa kumbe watz sio waoga tena.

Mgomoooo na maandamano sekta binafsi na umma.

Kwanza inatakiwa Mabasi yote na vidala dala vyote vigome kuanzia saa kumi na mbili asb.

Pili siku hiyo tunaandaa square za kukutana. Hata mapolisi nao wataishiwa nguvu, maana nguvu ya umma itakuwa kubwa.

Divided we fall, united we stand!!!!!!!!!

mambo iko huku Nipe sapoti tumalizane nao
 
Shida yetu tunaongeaga sana kwenye keyboard!!
Ni wakati muafaka sasa kusimama na kusema NO TO THE GVT!!
 
Yaani hawa wabunge ndio wanapitisha sheria ya kis**ge hivi.
 
Yaani hawa wabunge ndio wanapitisha sheria ya kis**ge hivi.
Kingozi ninamashaka makubwa na hawa wabunge waliopitisha hii sheria,huu ni wizi na uonevu mkubwa kwa watanzania,kwanza fedha zetu zinakaa kwao pasipo faida yoyote,ni bora kama wangeweka sheria ya kwamba fedha hizo zisichukuliwe lakini ziwe dhamana ya taasisi hizo kutukopesha bila riba lakini kwa hili waliloamua hakika tusipotafakari na kuchukua hatua stahiki Ndugu zangu watanzania inakuwa tumekubali kuibiwa....Tafakari,Chukua hatua.

Je sheria hii kwa wageni wafanyao kazi kwa mikataba inakuwaje?...kwa mwenye ufahamu katika hili wakuu hebu tujuzane.
 
Huu sasa ni Usengenyaji. Vipi kuhusu sisi ambao tumeresign afu hatutamani tena kufanya kazi zaidi ya kufanya biashara na tunategemea hako hako kamshiko ndo kawe capital, unatuambia mpaka tufikie 55. Si usengenyaji huo!
 
Back
Top Bottom