We all know kwamba hawa jamaa wa secret societies huwa wanaitumia hollywood kuonyesha plans zao za future
kwa mfano 9/11 ilishaonyeshwa sana kwenye movies years ago hata movie kama tommorow land ya G Clooney ni mpango wao wa NWO ambao this september utapewa baraka zake pale Philadelphia
Lakini wajua issue ya Bruce Jenner kujibadili kuwa mwanamke ilishaaonyeshwa siku nyingi?????damn these dudes wanaanza kulazimisha mashoga na transgenders waonekane watu poa tu.
pole sana,wewe ndiye mjinga hapa,unamkumbuka yule promoter nguli wa boxing kule UK aitwaye Frank maloney sasa hvi kajibadilisha kuwa mwanamke?then hii issue ya Bruce jenner???walishafanikiwa kufanya ushoga uonekane kitu cha kawaida sasa wanaingia kwenye watu kufanya huu ujinga kama BAPHOMET waoConspiracy theories, story za vijiweni, mawazo ya kitoto bila reasoning, na dini (sad but true) ni matatizo makubwa Tanzania na Africa kwa ujumla kuliko hata ujinga wenyewe
Illuminati ni nini? Maana wananitumiaga message
Unajua labda wanakutumiaga message kwasababu ya hili jina lako.
Subiri this september kuanzia tarehe 23-29 uone kitakachotokea huko Philadelphia wakati Pope atakapotia maguu ,new world order ndio kipenga kinapulizwa,na wakati huo huo CERN( i hope you know what it is) itakuwa imefikia hatua fulani,mbona ni balaa,tena full blood moon ndo tarehe zake hizoHivi kuna watu hadi saizi wana amini kuwa "illuminat ina exist"???? I cant believe in secret service to exist in this world.
Subiri this september kuanzia tarehe 23-29 uone kitakachotokea huko Philadelphia wakati Pope atakapotia maguu ,new world order ndio kipenga kinapulizwa,na wakati huo huo CERN( i hope you know what it is) itakuwa imefikia hatua fulani,mbona ni balaa,tena full blood moon ndo tarehe zake hizo
ndio ukweli huo dada,hawa jamaa wanacheza na mungu sasa,CERN ni project wame i set huko switzerland wanatafiti big bang theory ilitokeaje yaani hata yule atheist physics prodiy(Stephen Hawking) aliwaambia mta destroy dunia lakini they aredoing it on purpose ila mungu mkubwa sasa hivi wankutana na vitu vya ajabu sana huko chini walipofika,na viko nje ya uwezowaoMatope unantisha
pole sana,wewe ndiye mjinga hapa,unamkumbuka yule promoter nguli wa boxing kule UK aitwaye Frank maloney sasa hvi kajibadilisha kuwa mwanamke?then hii issue ya Bruce jenner???walishafanikiwa kufanya ushoga uonekane kitu cha kawaida sasa wanaingia kwenye watu kufanya huu ujinga kama BAPHOMET wao
View attachment 255635nimwanaume huyo ila angalia matiti hayo,do research ndio uanze kuita watu wajinga