Ishowspeed ni CIA kama mjatambua.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Hakuna cha bahati wala kusema zari.Ukweli ambao mfahamu huyu dogo ni undercover wa CIA.

kitu ambacho bado mjaweza kushtuka kwa nini anaweza kuwa stream online kila nchi anapokwenda.

Mshawahi kujiuliza 🧐 ?.Kitu ambacho wachina walijichanganya kumkaribisha kwao na kuna siku mtaniambia ?.

Sio kila jambo duniani ni kufunguka.
 
Wabongo sisi tuona kila kitu kwa jicho la ubaya ila wenzetu ni fursa, kwa umaarufu wa jamaa hakuna nchi itakataa yeye kuja kufanya streaming, ndo mana alipokuja Afrika na hakuja Tz mlianza kuwashwa kwann Haji bongo.

Jamaa sio CIA ila labla atumike kutokana na status yake ya sasa
 
Anaisaidiaje
 
Kwahiyo wachina waliopo China wameshindwa kumjua huyo Ishowspeed kua ni undercover wa CIA ila wewe mmatumbi uliyopo huko Nzega ndio unajua kua jamaa ni undercover sio?

Sasa wewe mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nzega tuambie basi umejuaje kua Ishowspeed ni undercover wa CIA?
 
Ngoja tumsubiri aje
 
Mchambuzi kutoka kusini mwa jangwa la sahara😄😁😄
 
Uzuri sio kila jambo kufunguka omba uhai utarudi kusoma uzi huu upya.
 
Uzuri sio kila jambo kufunguka omba uhai utarudi kusoma uzi huu upya.
 
Kufanya ujasusi wa nje ya nchi, kwa hiyo hata Jay Z na mkewake walivyokuja bongo na baadhi ya nchi ni kazi ya CIA? Wale watu maarufu wanakuja Serengeti kule miaka na miaka nao ni CIA?
Uzuri sio kila jambo kufunguka omba uhai utarudi kusoma uzi huu upya.
 
Uzuri sio kila jambo kufunguka omba uhai utarudi kusoma uzi huu upya.
Kwahiyo wewe una siri ambazo China wao hawazijui,mpaka wewe unasema huwezi kufunguka ili ubaki na hiyo siri sio?
Wabongo bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…