Ishi maisha kwa uhuru

Hivi kuna mafanikio kwenye kubeti kumbe?
kama yule fundi gereje aliefanikiwa kumpiga muhindi zaidi ya milioni 100 kwa elfu1 mapema mwishoni mwa mwaka jana, unadhani marafiki wa huyu ndugu na vijana wegine waloshuhudia kufanikiwa kwa jamaa huyu utawashauri kitu kuhusu kuacha kubeti 🐒
 
vijana wengi waanaharibika tangu wakiwa below 10
Nikweli kabisa sikupingi.
Ndio maana nahsi tunakaz ya kuifanya ili kubadili kizaz hiki, kama sio kubadil basi kukisaidia kwa namna moja au nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…