Ishi kistaarabu uheshimiwe..

By nature mwanadamu ameumbwa na aibu. Ndiyo maana we dress; minimum we cover our sex parts. Hata wakumbai wanafanya hivyo. Habit ya kuchange partners often ni dalili ya insecuriyi. This is true for both sexes. Even for women wanaofanya the oldest trade.


To compasate insecuritie ndiyo a man/woman tries to conqure everything along the way. Ukimwona a freind anafanya hivyo try kumpa advise many a times wanachange and that could be your biggest conquest. This is a good one.
 
Mwanamke kuitwa muhuni,au mwanaume kuitwa playboy,siyo sifa,unajiaribia heshima yako kwa wote wakuzungukao.Kila msichana kuitwa mpenz wako ni aibu,kila mvulana kuitwa mpenz wako pia ni aibu kubwa.CHUKUA HATUA BADILIKA.

A very nice post, thanks!
 
..umesema kweli,bt natumai ungelitueleza jinsi gani tuwaache hawa wengi wa kitaa,kwani nao pamoja na kujua kuwa siye ni ma-play boy bt bado nao wanang'ang'ania kuonja mitaimbo yetu,kiukweli wangu hakuna kitu kinaitwa USTAARABU kwani ustaarabu wa kale ulipotea majira ya NUHU,kwa kizazi hiki labda tutajitahidi kuongeza hekima,busara,adabu,ukarimu,wema na mengineyo kama hayo,bt da problem z how to make it happen,coz ukifuatilia sana wengi bado tunasukumwa na mtindo wa maisha tuloiga toka kwa wazazi/jamii ituzungukayo,then tukiingia kwenye ulimwengu wa wenye maarifa tunatia sumu hii ambayo matokeo yake yanakukera this time,bt thnx me kwa upande wangu nakiri ntabadirika,tena siku si nyingi..
 
Wengi wao wanaofanya hivi hawajajitambua na zaidi hawayajui mapenzi
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom