Isabela ambaye juzi alivua nguo zote hadharani atamba kuwa lulu michael hamuwezi " kimapenzi"

Biashara Matangazo!juzi kavua nguo mkaona utupu wa mwili wake kwa kiasi kikubwa.leo anasema yeye ni kungwi la mapenzi....kesho atafanyaje?hatujui...labda atatoa namba ya simu to any body interesting with her SERVICE.

Mimi naona binti yuko fair tu coz hapa tz ili upate umaarufu uwe msanii mzinzi. Ukifanya shughuli ya maana na ya kiuadilifu, unaonekana mshamba, b.w.e.g.e, MKULIMA, sio dot com, n.k.
 
unategemea nini kama hawa dada zetu role model wao ni Kim Kadarshian. Lazma wafuate nyayo zake.
Sex tape, fame, fake marriage, fame, reality tv show, fame. Then the rapid fall!
 
Back
Top Bottom