Haaaaa mie mama angu anasomaga kama guest tu,
Jukwaa lake hasa ni kule siasani..
Mine is! ha haaa
Hellos wapendwa,
ni hivi, my parent yupo humu JF, najua hadi jina lake humu ndani, how did i knw? siku tupo kifamilia zaidi, ila ye kashikilia tablet yake kaboreka mwenyewe, sijui alikuwa anaandika nini, baada ya muda nikasimama mindind my own business heading elsewhere, nikapita nyuma yake, ila nilivyogeuka nikaona JF, kwa umbea wangu nikaona niisogelee, nikaona na jina ha ha!
sasa naweza kuwa nasoma thread humu nikamuona na yeye huyo...mbishi huyoooo, khaaa! yani comments zingine anazoandika nabaki kushangaa, zingine nacheka, ila siku zingine namsupport humu, sana tuu, ye hajui tu...
Ila Dad punguza ubishiiii khaaa!
yupo kule siasa na interntl forum zaidi, huku kwingine kwa nadra sanaaa,..ila huwa nachekaga sana
It's a digital world. M'dingi yupo Twitter, Facebook, humu pia aliniambiaga anapita pita. Sema hajawahi ku-comment humu, i know his tone and taste.
Yaani hapo sasa ndio utaujua ujuha wa baba ako ni kilo ngapi,uupokee lakini.
uwii! God forbid jamani
Haaaaaahaaaaa dear umenivunja mbavu zangu kwa kucheka .. I thought it was only me.. Binafsi I honestly knew Jf because of my Dad . He came to visit me at my house and stayed with me for couple weeks .. One day alikuwa anatumia my laptop I was prepare him something to eat ile nampelekea nikamuona ana type kwa jukwaa la Professional ya job yake I think He was advice a person . My dear but to me sikufanikiwa kujua His ID aaaaahhhhaaaa .. Because I have never thought if one day I will need to enter here until last year .. Nilifanikiwa kujua the website but not his ID. Sometimes I even wonder if I ever advice my Own Dad ...Haaaaahhaaaaaaa.... Na sometimes nawaza kama yule MTU mmbishi kule kwa jukwaa fulani is my own Dad or ? Honestly its confused aahhaaaaaaa..hapo ndio naanza kuwaamini wale waliosema kuwa hiki ni kichaka , aaahaaaaahhaaa .. Thank you Jesus for the creative unreal names .Loooh.... Thanks..