ndugu story yako inanikumbusha jirani yangu nae alidanganywa hivihivi kwamba jamaa alijifanya ni black america kaja siku moja anajidai katoka ulaya kumbe jamaa katoka tukuyu mbeya kala mzigo wee kama wiki ivi kampachika na mimba juu baada ya hapo jamaa kasepa dada wawatu kasubiri na yeye aitwe ulaya kumbe daah
Kama kuna mtu kanionea Karucee hapa kwen hii sredi au OLESAIDIMU wake tafadhalini mnijulishe....
Wala sitawaambia Umbuje,Hasa huyo hommie Wako utastukia yuko mlangoni tena muda ule wa tukio muhimu!!!!
miss neddy......Unamuuliza nani vile?
Sijasikia vizuri bana!!!!!!!
Baba paroko.. miss neddy yuko wap leo...
miss neddy......