Is this real?

Ngoja wa kiswanglishi wenzako.Subiri hapo hapo usitoke. Lugha moja isingekufanya uonekana si wa kisasa

Don't hate the game,hate the player boss. Sasa ukisasa hapa unatoka wapi jamani? Anyways Jumapili njema kaka
 
If ur nt a risk taker dnt gt involved...huwezi kupata jibu kiurahisi kama he's 4 real o nt.

Thank you Nokia83, i guess you are right. Everything is about taking risks and i guess nothing comes easy so i'll put my neck out there and hope for the best!
 
Mimi nitakushauri kutokana na mtazamo wangu na experience zangu...You should be very careful with what you are doing and getting yourself into kwasababu watu wengi waliokuwa online wapo FAKE na naweza kudiriki kusema wanajivalisha ngozi ya kondoo na kujipotray differently…The reality might be very different from what you are seeing,take that from me and my personal experience…DON´T FALL IN LOVE WITH SOMEONE YOU NEVER MET huwezi kujua mtu anachofeel kupitia kwenye chats lakini ukaribu,uwepo wake pamoja nawe,body language na facial expressions might tell you something!Wewe kuna uwezekano una hisia za kweli lakini mwenzako asiwe anajihisi hivo, anafuata flow tu…Na huyo ndio anaweza kukuumiza kiurahisi sana na akakuliza bila hata kujali hisia zako na maumivu unayoyapitia,coz after all ni just chatting….
 
tena wa nje hao wabaya kama nini kwa vile sio rahisi kujua kama ana familia au hana. utaolewa na atakuacha Tanzania na hapo keshakuchakaza vya kutosha na hutamuona tena! umeshindwa penda watu wanao kuzunguka au ambao mmeonana itkuwaje kuwa mgeni? ukikutani 60yrs utakubali kuolewa wakati umeshafall in love? mkichwa ziwemo maana kidhungu chako hakijakusaidia kujitambua! wanaume tuna sound balaa!
 

Hilo la kudanganyika kwa urahisi naliona hata kwa hawa viumbe wasio na utashi (kuku). Nangalia hapa mahindi yamemwagwa chini haya japukuchuliwa, lkn jogoo amedonoa punje moja huku anamuitia temba hako kapunje kamoja, basi temba kafuata hako kapunje kadakwa na jogoo. mchezo umeisha.
 
Kabla sijakushauri naomba nikuulize kitu!Mmeshaonana?na mkaongelea kuhusu mstakabali wa uhusiano wenu au ndo mnachat tu?
Well....we've never met physically ila tumeshaongea kwenye cm and we chat on a daily basis. Kuhusu mstakabali wa uhusuano wetu,we both want a serious relationship that could mature into something else in future but it is too early to tell na tatizo langu ni kwamba how do you tell that your partner is being faithful or not while you live worlds apart?!!
 


Hamna cha ajabu mamy,mapenzi yaliyoanzia mitandaoni na yakafika mbali yapo na long distance relationship zilizo work pia zipo kama ambavyo mapenzi ya classmates au watoto wa familia rafiki yaliyo fail yapo na mapenzi ya kushare chumba na kujifunika shuka moja pia yaliyo fail yapo!
Go mamy,kuwa tu makini kama ambavyo ungekuwa kwenye mahusiano yeyote yale!
All the best!
 
umependa mistari yake...chunguza pia km unapenda silika na tabia yake. Ukijiachia ovyo utaumizwa.
 
Its very difficult to tell when the two of you are apart from each other…huwezi kujua mienedo yake kupitia kwenye chat au tabia zake.
 
you might be cooking a very delious food due to rush you might add kerosene on your side dish ,, movie characters make their fans craaazy and mad,but the fans should know they are ACTING
 
Nga ya risk taker........!!hujamwona? Lakin kama mmekutana JF maana yake hii post anaiona. Akujibu basi akutoe jakamoyo.
Ila huko majuu wote wameoa maana bills juu lazima upate wa kusaidiana naye kulipa.
 
Go for it mwaya sema muongelee status ya mahusiano mapema..
Muone kama wote mnataka ku achieve same goals at the end of the day
Thank you Heaven on Earth. My heart tells me to go for it,after all hawa wa hapa hapa tunao waona kila siku wanaishia kutunda so i guess i've got nothing to lose. I keep my fingers crossed & hope for the best.
 
We never video called each other but we do phone calls.
Duh aiseee reality yako itakuwa tofauti from ur expectations….nakuelewa sana unavyojisikia kwasababu nishapitia hayo and i learned my lesson the hard way!!
 

Sawa kaka sipingani na ushauri wako ila hata hawa tunaokutana nao barabarani cjui makazini ama kwenye shughuli zetu za kila siku hatuwafahamu overnight. Mara nyingi hatua moja huanzisha safari and for you to get to know someone's background you have to be in some sort of a relationship with them. Atanichinjia wapi wakati hatupo pamoja,yy yuko huko mm niko huku. Tatizo ni how do you tell if this is the real 'deal' or not without having to give it a chance?!
 
Aiseeee!!!!!!

Hizi swanglish nina aleji nazo sana

Ngoja waje unaofanana nao!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…