Watu wote wanastrugle kuanzia pale walipo. Watu maskini tajiri, viongozi na hata wasio na madaraka. ENTREPRENEURSHIP ipo kwa watu wote na profession zote. Huwezi kuniambia an Engineer hawezi kuventure mpaka awe ameiba. Kuna ma Engineers wengi tu wamefanya mambo ya ajabu mfano Frederick Taylor alifanya vizuri katika management ingawa hakusomea management. Sioni ajabu Isabela dos Santos kuwa bilionere. Mbona kuna watoto wengi wa Maraisi mafisadi kama vile Idd Amin Dada, Mobutu Seseko wa Zabanga wa Zaire etc wameshindwa kuwa Bilioneres.
Isabela kanunua shares katika makampuni mbalimbali serikali ijayo itawezaje kumnyang'anya?.
Kila tajiri ana chanzo chake, lakini ni vigumu kuwa tajiri bila kumdhurumu mtu yeyote hata kama sio mtoto wa raisi