Is this a human being ?

Ngoja waje wale wamarekani weusi wa Nzega na Nanjilinji wakutukane unamsema rais wao.
 
Sema tu hili jamaa sera na ubabe wake unafanana kwa sehemu fulani na wa yule Dikteta wetu uchwara aliyetutoka.

Na ndani ya Marekani mambo yao yapo kama yale yaliyokuwepo hapa kwetu! Yaani wapo baadhi wanamkubali na kumfagilia sana! Halafu wakati huo huo kuna wapo ambao wana mdis mpaka wamepitiliza! Kutokana tu na sera zake za ndani na nje ya Marekani.
NB: huu ni utafiti wangu tu mdogo mimi Tate Mkuu, Mzee mwenye busara zake nyingi kutoka Lushoto, Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…