Kiukweli hakuna kabisa privacy kwenye ndoa
sansana ni hiari na kuheshimiana
otherwise ukishamvulia mtu nguo,umeshaa ondoa privacy
iwe ya simu au hata lolote lile lingine
hata haki tu ya 'kutozungumza' inaondoka
unalazimika kuongea na mtu hata kama 'hujisikii' lol
there are always things which remain private unless mna co-dependence issues. vitu kama password za benki/atm nk are not for sharing, kila mtu ana zake. watu hawatabiriki mnaweza mkagombana halafu mwenzio akakomba a/c yako so better safe than sorry. just bcoz sikupi PW yangu ya ATM haimaanishi kwamba sikupendi kwa dhati, unless kuna kitu nimekosea. what's the point of sharing 'private information'?
Sidhani kitendo tu cha kumvulia mtu nguo tayari kinakuondolea faragha yako yote..
How many people do see us naked bana??
The Boss unaweza kumpa na JF password basi..ryte?..if that is the case...lol
Jinsi mtakavyokubaliana ninyi wawili ndio haki yenu, maana jinsi ya kushirikiana sio universal. Ila ni muhimu kuwa na confidant na nani anayefaa kama sio mwenzi wako wa ndoa.
swali uliloliouliza ni 'privacy'
na sio ku share all secrets.....lol
sijasema kwenye ndoa hakuna siri au watu hawafichi siri zao
nimesema hakuna 'privacy'
mfano hata naingia jf naweza fanya siri
lakini siwezi mwambia wife 'ni haki yangu ya privacy kuingia jf'...
akinikamata lazima aniulize maswali na niyajibu lol
sina hata haki ya 'kukataa kuulizwa' lol
Kwa hiyo hapa mkuu unatenganisha 'privacy' na siri kama vitu viwili ambavyo havifanani..ryte?
Yes kakugundua unaaccount JF ...Je? anayo right ya kukuomba access??...na kama hupendi unamuambiaje??
there is NO such thing as unlimited access. sio duniani/peponi/motoni or anywhere u can think of.I also still ask the same question Blaine Does marriage means unlimited access??..lolest!!
najaribu kukupata lakini nashindwa, u mean una 'haki ya kuulizwa' at the same time hakuna 'privacy' so how do u answer kama ni jambo la siri?swali uliloliouliza ni 'privacy'na sio ku share all secrets.....lolsijasema kwenye ndoa hakuna siri au watu hawafichi siri zaonimesema hakuna 'privacy'mfano hata naingia jf naweza fanya sirilakini siwezi mwambia wife 'ni haki yangu ya privacy kuingia jf'...akinikamata lazima aniulize maswali na niyajibu lolsina hata haki ya 'kukataa kuulizwa' lol
there is NO such thing as unlimited access. sio duniani/peponi/motoni or anywhere u can think of.najaribu kukupata lakini nashindwa, u mean una 'haki ya kuulizwa' at the same time hakuna 'privacy' so how do u answer kama ni jambo la siri?
Kiukweli hakuna kabisa privacy kwenye ndoa
sansana ni hiari na kuheshimiana
otherwise ukishamvulia mtu nguo,umeshaa ondoa privacy
iwe ya simu au hata lolote lile lingine
hata haki tu ya 'kutozungumza' inaondoka
unalazimika kuongea na mtu hata kama 'hujisikii' lol
hapo nitatafuta nmna ya kumpooza
hata kama sitampa password lakini
sitasema 'its my privacy'
au hayakuhusu....
Mkuu wangu The Boss hapa bana kubali kataa kuna privacy inatakiwa iwe maintained..
Sema kinachogomba ni jinsi gani utamfanya mwenzio haamini kuwa 'conscience' yako iko 'clear'
But kumbuka mara nyingi maswali ya usiri yanaletwa na hiyo hiyo 'conscience'..kwa nini hataki nijue????
Ndoa gani? Privacy ije kwa authority gani? Maana ndoa zote si sawa.
Kwa mfano, ndoa yenye pre-nuptial agreement inayo stipulate declaration ya assests and liabilities of each party prior to the marriage inaweza kuondoa aspect fulani ya financial privacy.
Wakati misingi ya ndoa ya kikristo inamtaka kila mmoja kujikana mwenyewe na wawili kuunganika kuwa mmoja, sasa wawili wakiwa mmoja katika ndoa ya kikristo hakuna privacy yoyote hapo.
Wakati huo huo unaweza kuwa na ndoa ya kimila kama ya "Coming To America" pale Eddy Murphy anapomwambia mchumba wake kubweka kama mbwa, na mwanamke anabweka, anafanya lolote analoambiwa na mwanamme, mwanamme anaweza kuwa na privacy yote wakati mwanamke hana privacy.
Kwa hiyo kabla ya kujibu swali lako inabidi tuelezane ndoa gani unayoongelea, kwa maana kila ndoa ina misingi yake ambayo inafanya ndoa zote zisiwe sawa.