Is Tanzania a "Mineral Republic"?

Is Tanzania a "Mineral Republic"?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,149
Reaction score
56,448
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.

Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'. A country whose economies largely dependent on single commodity.

Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.

Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.

Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.

Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.

Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.

Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.

Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
 
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.

Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.

Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwanini sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji katika maeneo tofauti.

Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mikakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.

Sawa tumekusikia.Nini kifanyike sasa?
 
Why don't you lift up your back side ukaanza kufanya kazi badala ya kujaza server? Hujaona hike, hujaona kile, wewe umefanya nini?
 
Kwa sasa kila mwananchi awe na mkakati wake mwenyewe na familia yake Serikali inatafuta hela ya kujenga viwanda
 
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.

Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.

Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.

Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.

Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.

Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.

Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mikakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.

Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.

Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Mikakati hiyo ilifanyikaa kwa interval ya miaka mingapi ????

Kutoka mkakati m1 hadi mwingine ???
 
Nyie wabunge wa chadema fanyeni shughuli za uzalishaji mapema sababu 2020 hamrudi Bungeni nashangaa mnashinda mitandaoni kujaza pumba.
 
Why don't you lift up your back side ukaanza kufanya kazi badala ya kujaza server? Hujaona hike, hujaona kile, wewe umefanya nini?
Unataka mimi niandike nimefanya nini, mbali na shughuli zangu binafsi nalipa kodi, PAYE ya zaidi ya laki tano kila mwezi, kuna hela yangu PSPF serikali imenikopa kule.
 
Magufuli oyee...Lisu oyeeeee. Kitu pekee hapa Tz kinachonifurahisha kina wazalendo wengi ambao hawajuani kiasi kwamba wanataka kuuana kuisaidia Tanzania. Yani ukiwa na dola unajiona unauzalendo mkubwa kuliko wale wanaokuzidi uzalendo wasio na dola. Wasio na dola wanaona wanauzalendo mkubwa kuliko walio na dola yani baaasi ni mchanganyano tuuu. Mi nashauri Presidaa akamtunuku Lisu nishani ya uzalendo huku Lisu kupitia chama cha wanasheria wamtunuku Prsidaa nishani ya uzalendo.
 
Liko kosa kubwa hapa!!Serekali hii inajikita na vitu vyenye publicity zaidi hata kama effect zake kwa wananchi ni kidogo sana!!Serekali hii inatafuta zaidi publicty zaidi kuliko kutatua kero za wananchi bila kujua ukizitatua lazima pia utapata publicty ila wanaona itachukua muda sana kujenga publicty kwa kupitia njia hii!!Tunataka umaarufu wa fasta fasta.Utaona wakitoka kwenye madini watakimbilia kwenye mabara bara na mali asili za utalii!!! Huko ndio utaambiwa kuna mbuga imeuzwa yaani kuna nchi ndani ya nchi.Yaani huko ndio balaa jinsi patakuzwa tutakoma.
 
Fine! serikali imepigwa ganzi na iko 'stagnant'

ila kupitia madini hayo kiasi cha $300M kitalipwa in 'Good will'

Pia sekta ya madini imekuwa kama 'shamba la bibi' yaani 'hasara' kwa taifa
 
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.

Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.

Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.

Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.

Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.

Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.

Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.

Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.

Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Unaonaje ikiitwa Matukio Republic?
 
Ooh Mungu wangu. Watanzania wengine ni janga kabisa. Watu wamepania kuikomboa nchi kutokana na wizi wa rasilimali zetu anakuja quinine anaandika utumbo huu.
Ndugu yangu tatizo sio kupania bali kupanga, unaweza kupania na usifanikishe kwa kuwa na mipango mibovu.
 
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.

Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.

Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.

Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.

Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.

Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.

Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.

Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.

Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Jana nlichangia uzi mmoja humu nliuliza madini yanachangia asilimia ngapi kwenye pato la Taifa?sikupata jibu....
Nkasema tanzania isitegemee hata Siku moja wananchi wake wata toboa kwenye sekta ya madini,lakini serikali ingeweka nguvu zaidi kwenye kuinua kilimo,kilimo ndiyo Mlango mzima madini hayo dhahabu,almasi,tanzanite n'a madini mengine ya vito ni anasa tu Ktk matumizi(mimi naitaka hivyo)
Nashangaa awamu hii kilimo wao wamezidi kukitupa Mkono hawafikiri kbao gani ya kumuinuaa mkulimaa
Sekta ya utali tu pato lake Siku zote linazidi madini Ktk mchango wake
Kuna nchi moja afrika Jina nmesahau wao pato lao kuu wanategemea utaliii,sisi ni makinikia tu inawasumbuaaa Mpaka sasa je Hzo zingone wataweza
Asante kwa kuleta uzi huu kamanda

Ova
 
"At the movement we are going, ukidhani kwamba huelewi nchi inaenda wapi, tambua kwamba hata nchi pia haikuelewi unapoelekea
 
Jana nlichangia uzi mmoja humu nliuliza madini yanachangia asilimia ngapi kwenye pato la Taifa?sikupata jibu....
Nkasema tanzania isitegemee hata Siku moja wananchi wake wata toboa kwenye sekta ya madini,lakini serikali ingeweka nguvu zaidi kwenye kuinua kilimo,kilimo ndiyo Mlango mzima madini hayo dhahabu,almasi,tanzanite n'a madini mengine ya vito ni anasa tu Ktk matumizi(mimi naitaka hivyo)
Nashangaa awamu hii kilimo wao wamezidi kukitupa Mkono hawafikiri kbao gani ya kumuinuaa mkulimaa
Sekta ya utali tu pato lake Siku zote linazidi madini Ktk mchango wake
Kuna nchi moja afrika Jina nmesahau wao pato lao kuu wanategemea utaliii,sisi ni makinikia tu inawasumbuaaa Mpaka sasa je Hzo zingone wataweza
Asante kwa kuleta uzi huu kamanda

Ova
Utaliita ndiyo sekta inayongoza kuchangia pato la taifa kwa around 17% ikifuatiwa na mawasiliano, kilimo na viwanda, madini yanachangia kiasi kidogo sana.

Kwa sababu 75% ya Watanzania wako vijijini na wanategemea kilimo, nilitegemea serikali ingewekeza zaidi kwenye sekta ya kilimo ambacho wengi wanakimudu, sekta ya madini wachache sana wanaomudu kufanya biashara hiyo.
 
Usipoelewa nchi inakoelekea hakika hata nchi haitokuelewa wewe unapoelekea. Kila mtu atambue direction yake sasa kabla ya kuhangaika na direction ya nchi
 
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.

Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.

Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.

Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.

Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.

Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.

Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.

Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.

Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Did you just say balimi republic?
 
Back
Top Bottom