Is sex addiction real?


Mwalimu snowhite,kama model ya Kaunga ilivyosema wewe utakuwa Hyper kama sikosei,je kaka angu nae atakuwa hivyo?na kama hayuko hivyo au vyovyote vile hebu tupe uzoefu wako,hako ni kaugonjwa,tabia nk ?lazima utakua unaenjoy haswa, je kuna ubaya kama wote mna-enjoy au mmoja hai-enjoy.Mwalimu gfsonwin naona leo kagoma kutupa kaperience (experience ya koplo wa JKT enzi zetu,te te te)yake.
 
mzabzab,sasa huu utamu tunaoupata ukizidi kuutafuta au wingi wake,is it unhealthy or wrong kwa mtazamo wowote ule?Hebu tupe uzoefu wako

well mie naona hamna shida mtu kupata utamu au kutafuta utamu. la msingi ni kujilinda wewe na huyo unayeshiriki nae hilo tendo. healthy? well sex is not a killer as far as i know....infact ni stress releaver lol.
kwa uzoefu wangu sex is fun and we shuld all enjoy it jamani na nilazima tuwashukuru wanawake ambao nao wanapenda sex na sio kuwaita majina kama malaya changu, hii inatupozea wanawake kuwa huru kutupa utamu bila makashkash kibao
 

mzabzab,you are right kusema kweli kwamba sex ipo ili tu-enjoy lakini sasa ikitokea wewe unapenda kufanya kupita kiasi na your other half hapendi kama hivyo wewe, si kutakuwa na matatizo?

Kuna watu ningetaka kusikia maoni yao hapa lakini sijui wako wapi,eti Bazazi,MziziMkavu,Sikonge na Itegamatwi, mpo?
 

well hiyo inatokea na ni muhimu kuhakikisha unakuwa open na huyo mtu mapema kuwa wewe unapenda sana sex hivyo mtu anajua kama ataweza kumudu mapigo yako
 

Mengine tunaweza kusema ni sex addiction, ambayo ni ugonjwa wa akili kama ilivyo addiction nyengine za pombe, sigara, bao, movies n.k. lakini nyengine kwa wabongo ni tabia mbaya! wewe huwezi kumuona mwanamke tu ndani ya dakika moja au kwenye basi ukaanza kutongoza, huku una maiwaif/gf wako. wengine hata sio binadamu ni majini yanaenda shopping lakini utakutia mtu yuko busy anataka namba, hii ni tabia chafu wala si ugonjwa!!
 
Are you one of them? Hakuna addiction wala nini bali kuendekeza tu. Ni suala la mila na kumomonyoka kwa maadili sex inapokuwa zaidi ya oxygen
 
bahati nzuri na yeye hapendi k huwa tunalala hata wiki mbili bila kufanya kitu

Smile wacha kufanya mchezo hebu fanyeni, unajuaje kama mzee wako nae hapendi, wengine mpaka washawishiwe
kidogo kwa sababu wanakua na uchovu wa kazini. hebu mpige masaj kidogo halafu uone kama usiku utaisha!!!
 
Nina marafiki kadhaa ambao wanapenda sana ngono lakini mtazamo wao ni kuwa wawe namwanamke mpya kila mara na sio yule yule wa kila siku, kiufupi wnahamasika kingono kuwa na mwanamke mpya kila siku.
 
Jini mahaba anaweza kukufanya usipende ngono.

mama mchungaji mwenzangu hulali?au ndo unafanya maandalizi ya ile deliverance yetu,kazana mama manake foleni inazidi huku booking kibao!ila si unajua namba moja ni nani enh?
 
Kuna baadhi ya watu ni tabia mbaya tu kama nyani wanaopenda kung'ata mahindi shambani alafu hawayali

Kuna baadhi ni sexholics

Kuna baadhi ni sex addicts

Kuna baadhi ni Nympho

Na kuna baadhi ni Nymphomaniacs

KAma kuna anaejua tofauti atufafanulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…