Is Obama big loser!?


Na Obama ndio anazidisha spending na hii bajeti yake mpya!!
 
Na Obama ndio anazidisha spendind na hii bajeti yake mpya!!

Ni ngumu mno kupunguza bajeti wakati uchumi unasuasua vinginevyo recession itarudi tena na Employers wataanza tena kupitisha fagio na kupunguza mamilioni ya Wafanyakazi, kitu ambacho Obama na Serikali yake hawataki kitokee. Obama is between a rock and a hard place.
 
Wewe unalinganisha Rwanda na USA?

Kweli kuna kazi JF.

USA ni taifa KUBWA LILILOENDELEA na Rwanda ni NI TAIFA DOGO LINALOENDELEA

Ninachoongelea ni Strategic or institutional management.


Again, Strategic or institutional management.

Kwakumalizia mtu ambaye ameona mbali ni hii post hapa chini


 

Na ndio maana nikauliza
Is Obama big loser!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…