Is it true that love must hurt?

Is it true that love must hurt?

2la

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
19
Reaction score
3
Habari wana jf, mimi huwa napata kigugumizi pale ninapoona mtu ananyanyaswa na mpenzi wake alafu bado anamng'ang'ania, inaniumiza zaidi pale anapokuja kulalamika kwangu kuhusu mpenzi wake, nikimshauri amuache anaenda kunisemea kwa mpenzi wake unakuta huyo mpenzi anakupiga vijembe, hala wanakwambia ooh wagombanao ndio wapendanao alafu yakimkuta tena anakuja tena kukulilia. Hii mnaionaje jamani, kama mpenzi anakunyanyasa yanini kumng'ang'ania?
 
Mapenzi ki2 kngini ukipenda aise hupend kumuacha bt huyo anaekusemelea afu anakuja kukuomb ushaur tena anamaana gani!
 
Back
Top Bottom