Adobe wametangaza kuwa wanastopisha development flash player kwa mobile kwa sasa na wanajikita kwenye future Web standard ambayo ni HTML5. So mpaka hapa ina maana flash inaoenakan inafaa kwa Desktop application Lakini je
Hizi sio dalili kwau adobe flash imefikia au itafikia mwisho hata kwenye desktop?
Kwa hiyo japo HTML5 ni recomendation tu na bado haijawa standard rasmi wadau tunatakiwa kunaza ufahamu fahamu zaidi na kujua tofauti ya XHTML na HTML 4.1 na HTML5.
Chief Yes ina play na hata youtube zaidi ya flash kwa sasa hivi pia inasupport video standard za HTML5. Kikwazo kikubwa ni browser .hapa w3school unaweza kuona Chrome ndiyo inakwenda sambamba zaidi na specs za HTML5