Maneno ya mtoa mada ni ya mtu aliyeshiba alafu anasema hichi chakula hakikuwa na chumvi......mara nyingi uzuri wa kitu unaongezeka maradufu hasa wakati ambao unakihitaji....kuna mwingine akiwa na genye yuko radhi hata kumwambia demu wake akodi hata taksi wakutane mahali ili jamaa akasuuze rungu bila kuangalia gharama wala nini kwani kwa wakati huo kitu pekee anachokihitaji ni papuchi pekee....pia kuna wengine wakiwa na genye hutafuta changudoa kwa gharama yoyote ile ili watuimize azima yao na wote hao baada yapo hujiona wajina sana....hata hela kuna wakati shilingi mia inakuwa muhimu kuliko hata milioni....