If you are after grammatical corretness, it was supposed to be Tanzania Electricity Supply Company
Ila haijalishi. Ni jina tu, hivyo hata kama ingeitwa Tanzania Umemez Supply Company ingekuwa sawa pia. Makampuni mengi makubwa ya kimataifa yana majina yasiyokuwa na maana kifasihi, k.m. Google, Yahoo, General Electric etc