Wale mademu, wanaojichubua wakiamini ''weupe'' ndio ustaa badala ya kujituma, sasa aache uhanithi, lupita ni mweusi ''T'' lakini bonge la supa staa hadi kachukua Oscar, kuliko hata jack wolper. chezea movie ya ''12 years of slave''.