Is it a coincidence?

Hao wote hawajaenda shule.... Wakristo tulibase sana katika kupata elimu. na elimu hiyo imefanywa wakristo wengi kuwa na maisha bora sana hapa mjini..

Sawa mmebase katika elimu na ndio ninyi mnaotusumbua mitaani, mnakosa ajira mnaingia nyumba zetu kutuibia. Kwa ufupi tu hamuna jipya ninyi,,wengi wenu waajiriwa na masikini wa kutupwa kazi kuomba omba tu pesa kwa waislamu,,,,

Waweza kuwa na elimu kubwa na ukanyimwa mali, ndio ujuwe kuwa Mwenyezi Mungu humpa amtakae,,wewe na kisomo chako umeajiriwa na Muislamu/Mwarabu na Mhindi mpaka nguo za ndani unanunuliwa halafu unakuja hapa kujisifu na kielimu chako!!

Kwa taarifa yako tu, Waislamu + wahindi + waarabu ndio wameifikisha nchi hapa ilipo lakini hamuna shukrani ninyi wayahudi weusi + Wakristo watoto wa paulo
 
Soka la afrika linatawalwa na hao waarabu unaosema wapo nyuma.

kila mwaka bingwa wa makombe ya CAF ni timu za kiarabu

Harudi tena huyo myahudi. Hawa viumbe wanachuki sana kwa waislamu,,wakiona umefanya vizuri hawawezi kukksifia ata kidogo. Cheki ujinga sasa 😂😂 Siku zikikutana Esperance de tunis na Tp mazembe, wataiunga mkono timu ya makafiri wenzao kisa wale ni waislamu hawastahili kushabikiwa,,,Au wakutane Al ahly omdurman ya sudan na vita club ya uganda, wataishabikia vita makafiri. Apo ndio waga wananivunja babu 😂😂
 
Ukimaliza hapo rudi kwenye matajiri wakubwa tanzania wanaomiliki vituo vya radio na tv.
 
Harudi tena huyo myahudi. Hawa viumbe wanachuki sana kwa waislamu,,wakiona umefanya vizuri hawawezi kukksifia ata kidogo. Cheki ujinga sasa 😂😂 Siku zikikutana Esperance de tunis na Tp mazembe, wataiunga mkono timu ya makafiri wenzao kisa wale ni waislamu hawastahili kushabikiwa,,,Au wakutane Al ahly omdurman ya sudan na vita club ya uganda, wataishabikia vita makafiri. Apo ndio waga wananivunja babu 😂😂

wanajiumiza tu, Hivi sasa robo fainal ya Caf Champion league ya mwaka huu timu 6 za kiarabu zimefuzu. na confederation cup kwa uchace zitakua 5.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom