THE LEARNED COUNSEL
Member
- Nov 24, 2014
- 57
- 15
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Before asking if god is fair, an even more fundamental question is, does god exists or is this just a false idea?
Ningeshangaa kama kiranga, asingekatiza huku. Samahani kiranga sio kwamba nakuombea kifo maana sote tutakufa, ila nitashangaa ikiwa siku unaondoka duniani ndugu zako wanaanza kukuombea kwa MUNGU akulaze mahali pema wakati hata ulikuwa humwamini!
Hata ukiniombea kufa, Waswahili walisema dua la kuku hakimpati mwewe. Wewe niombee tu.
Ya ndugu zangu aema na ndugu zangu.
Sorry kiranga kama nimekukwaza kwa hili, lakini nilikuwa natolea mfano tu kkuwa kuna kufa (this is a fact)na baada ya kufa ni hukumu kwa MUNGU. Acha ubishi hebu leo anza kuamini Mungu yupo ili roho yako isije kupotea milele. Fanya kitu kimoja kwa kumanisha, hebu mwambie Mungu mi siamini kama upo na kama kweli upo jidhihirishe kwangu. Trust me atajidhihirisha kwako na utakuja kushuhudia humu. Kiranga ukiamini Mungu yupo utabadilisha wengi sana humu JF.
Who creat that with unfair situation?
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Before asking if god is fair, an even more fundamental question is, does god exists or is this just a false idea?
How can you say God doesn't Exist?
I posed a question.
Does god exist?
Can you prove that?
I posed a question.
Does god exist?
Can you prove that?
Back to the topic, unfairness inaletwa na dhambi sio mungu, kumbuka tunaishi kwenye ulimwengu ulioharibiwa na dhambi..!!
Can you articulate that in your own words or is this another one of your copy paste that you can't even understand yourself?
The very first argument has been debunked here several times.
If complexity must have a creagor, then the creator must be more complex and must need a creatir, ad infinitum, ad absurdia.
Thisbis actually an argument against the existence of your god.
For it stipulates that he also must have a creator.
Kama ni mtu unaetaka kujielimisha, kujua soma kupitia links. Even that we do you a favor. Kama unataka malumbano, subiri mauti baada ya hapo utapata wa kulumbana nae.
I posed a question.
Does god exist?
Can you prove that?
Kama Mungu ana ID hapa JF atakuja kujibu...
hii ni meseji ya ukimwi zaidi..