Is God fair ?




Ayubu,alipata maumivu kuliko hayo.

Lakini sababu alikuwa anjua nafasi ya shetani katika maisha yake hakurudi nyuma aliendelea kumtukuza mungu.
 

hii ni meseji ya ukimwi zaidi..
 
Mpendwa LP, hata siku moja usiweke dhana mbaya kwa Mungu, Kama ulitenda au ulitendewa hayo ni yako!! Alwayas keep best hopes !! The good day are ahead coming soon.
Good luck
 
Mshirikishe Mungu kabla ya kufanya maamuzi na usimshirikishe Mugu katika kujutia maamuzi uliyoyafanya mwenyewe

Kuongezea hapo,tusisahau kuwa Mungu ametupa akili.
Mtegemee Mungu huku ukizitumia vema akili alizokupa.
Mshirikishe Mungu kabla ya maamuzi,but also remember Mungu anazungumza nawe kupitia akili yako.Ipe akili yako nafasi ya kukuhabarisha na kukushauri.
Take your time kumchunguza huyo mtu na kumjua,kabla hamjafika mbali.
Kwa maelezo yako hapo juu,kinachokuumiza ni tabia ya mtu.Je,wakati mnaanza ulijipa muda wa kumjua kitabia?Ni kawaida ya binadamu kuficha makucha katika early stages za mahusiano,anakuonyesha positive side yake tu,negatives anaficha,wakati kiukweli hakuna binadamu mwenye positives tupu,wote tuna negatives zetu.
Je,ulijipa muda kuzijua negatives zake zote?hii inawezekana iwapo utamchunguza kwa muda mrefu.Je,na wewe ulimuonyesha all your true colours au ulimvutia kwa kujenga taswira isiyokureflect kiuhalisia na ambayo umeshindwa kuidumisha kwa muda mrefu,sasa swaga zimeisha,your true colours appear,na mwenzio anareact to your new image,vurugu zinaanzia hapo.
Ukishajipa muda wa kutosha kumjua mtu,utazijua negatives zake,ukiishazijua,there comes the point,ile ROHO aliyokupa Mungu ndani yako inakushauri nini kuhusu negatives unazoziona kwa huyo mtu?zinavumilika,ni sahihi kuzivumilia au ni ujinga kuzivumilia?ukimpa nafasi unajenga au unajibomoa hadi wewe mwenyewe?
Unajua mahusiano ya ndoa ni kitu tofauti na mahusiano mengine.
Wengi hugeneralize mambo.
Kwenye ndoa ni hekima ukampata mtu mnayeendana kwa mambo yote ya muhimu,hasa tabia.
Huenda Mungu anatushauri lakini hatusikii huo ushauri kwa kuwa tunataka kile tutakacho sisi kitokee,yaani umempenda mtu kwa sura,materials etc,halafu hutaki awe na tabia mbaya,hata ukiziona unasema God will care the rest,mwisho wa siku ukiumia unamlalamikia.

Mungu hatengenezi matatizo,tunayaleta wenyewe katika maisha yetu kwa kutomshirikisha au kumpa nafasi ya kutushauri juu ya kila kitu.

Kumbuka,huyo mwenzio ni binadamu huru mwenye choice zake kama wewe,ni vigumu kuishi na mtu ambaye Mungu si one of his/her choices,huku wewe ukimchagua Mungu kama muhimu kwako.Mtapishana tu na hamtawezana,na atakuumiza.

Ni hekima kujua jambo gani la kuvumilia,na jambo gani la kuachana nalo kabisa.
Na uamuzi wa mapema huepusha hasara.
 

Mkuu umeongea kihisia sana.

But nahisi umefanya madudu as a result blame unazipeleka kwa Mungu.

Kwanza utambue Mungu hajapanga kila kitu. Mungu kapanga mwendo wa sayari na mizunguko yake in short Galaxies.

Also kapanga systems. yaani ukifanya hivi matokeo ni vile.
(ukihitaji ufafanuzi nitafafanua.)

Mungu katoa akili kwa namna yake kutokana na kiumbe husika. na akili ndio inayohitajika iwe ni mwongozo kwa kiumbe hiko. ukipewa akili you have the power to decide. decisions zako zinakuwa bound na rules/sytem established.

Kupata ukimwi haijalishi umetembea na wangapi na badala yake ni kwamba, jee ulietembea nae yuko salama?!!!

Hope huelewi ata njia na namna ya kujikinga na ukimwi thus why unamsingizia Mungu.
 
Huyo sb ulipewa na mungu? kama sio unamlalamikia nani sasa
 

Before asking if god is fair, an even more fundamental question is, does god exists or is this just a false idea?
 

Are you fair to your God?unadhan Mungu anapenda wazinzi?dhambi huzaa mauti na HIV ndo mauti yenyewe
 
Wakati unapitia matatizo ili hali unashika sheria za Mungu ipasavyo tena Unafanya jitihada za dhati kujikwamua katika tatizo hilo bila.mafanikio Ni ngumu sana kumuaminisha mtu kwa kumshauri kwa maneno kirahisi rahis kuwa "Mshirikishe/ Mtumainie Mungu""

Jamani is not simple as you think trust me!!!

Ukiwa na hela au usipokuwa na shida ya maisha si rahisi kuwa karibu na aliyenashida labda kwa unafki tu inawezekana.

Sometimes I do Agree with you LP that God is not fair. Nimesema hivi makusudi kabisa kwasababu sipendi unafki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…