Is "Bongo Bongo Land" a racist remark?

Is "Bongo Bongo Land" a racist remark?

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Kuna mbunge wa chama kimoja nchini Uingereza ameambiwa aombe radhi kwa kutumia maneno "Bongo Bongo Land". Wenyewe wanadai hayo maneno yamekaa kubaguzi. Vipi Wabongo hapo mmebaguliwa? Mnastahili kuombwa msamaha? Maana kwetu sie Wabongo sidhani kama ni ubaguzi kuiita Tanzania "Bongo Land" au kumwita Mtanzania Mbongo. After all wengi wetu tunapenda kufanya mambo kibongo bongo. Au?

===============

A UK Independence Party MEP has been criticised for using the term Bongo Bongo Land. But to some people in Tanzania the term has an innocuous meaning, writes Clare Spencer. MEP Godfrey Bloom has been recorded in footage obtained by the Guardian saying: "How we can possibly be giving £1bn a month, when we're in this sort of debt, to Bongo Bongo Land is completely beyond me."

Bloom told the BBC Bongo Bongo Land was "a figment of people's imagination. It's like Ruritania or the Third World". That didn't cut it with Laura Pidcock, from campaign group Show Racism the Red Card. She said that "these crude stereotypes that see Britain as a civilised place and overseas as tribal" were "incredibly damaging". UKIP have also asked him not to use the phrase again, warning that people abroad might find it "disparaging".

This may all be news to people from Tanzania where the shorter word Bongoland means the polar opposite to uncivilised. Instead it means a place where people have to be savvy and have their wits about them. That place is the large city Dar es Salaam. It comes from an amalgamation of the Kiswahili word Ubongo - meaning brain - and the English word land.

BBC Swahili reporter Aboubakar Famau explains. "Dar es Salaam is a place where people have to use their brain. You could be a conman or just a businessman but they have to work out how to make money." It's a relatively new term - Famau estimates it at about 15 years old. His dad wouldn't use it and, he muses, it's probably only known by people under 35-years-old. But it is widespread enough to be the title of a 2003 film about a Tanzanian moving to the US, and its sequel, Bongoland II.

What's more, using the term may get you kudos - not criticism - in Tanzania. "Young people think they sound sophisticated when they use the term," Famau says. That explanation might have helped Bloom avoid controversy.

BBC News - The other meaning of Bongoland
 
... When all doors are closed ... the only alternative is your Bongo! Ni kama ka Ukomandoo fulani!! Kama Kaushujaa vile..-Surely lugha ya vijana zaidi!! Sio TUSI !! Ni kwao .. Ushujaa!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bloom told the BBC[/URL] Bongo Bongo Land was "a figment of people's imagination. It's like Ruritania or the Third World".

Habari za hivi karibuni zinasema huyu bwana Bloom ameomba radhi kwa kutoa kauli hiyo hadharani. Lakini EMT, hoja hapa ni kwamba yeye aliitumia kibaguzi kwa maana ya 'kupeleka tuu fedha kwa watu ambao hawana umuhimu wowote katika mustakabali wa dunia hii...Third world, or Ruritania!
 
130808122921_bloom_bloom_512x288_bbc_nocredit.jpg

Mwanasiasa Godfrey Bloom


Chama cha kibinfasi cha kisiasa cha MEP nchini Uingereza kimeshutumiwa kwa kutumia neno.......'Bongo Bongo Land'
Lakini kwa baadhi ya watu nchini Tanzania, neno hilo lina maana isiyo na ubaya wowote

Mwanachama wa chama hicho, Godfrey Bloom, amenukuliwa kwenye jarida la Guardian akisema,'' inawezekanaje tunatoa msaada wa pauni bilioni moja kila mwezi, kwa 'Bongo Bongo Land' wakati tunakabiliwa na deni kubwa kama hili?''

'Bongo Bongo land' ni neno ambalo hutumiwa miongoni mwa waingereza kama lugha ya dharau kuashiria nchi maskini, au mataifa yanayostawi.


Bloom aliambia BBC kuwa Bongo Bongo Land ni neno wanalotumia watu kuashiria nchi maskini isiyo na ustaarabu.

Hili bila shaka halikumfurahisha Laura Pidcock, mwanaharakati anayepinga ubaguzi wa rangi aliyesema kuwa dhana hizi ambazo watu wanazo kuhusu watu fulani, inarejesha Uingereza nyuma wakati inajipa sifa ya kuwa nchi yenye ustaarabu.
Alisema dhana kama hizo zinapotosha sana.

Wakereketwa wamemtaka kukoma kabisa kutumia tena lugha kama hiyo wakisema kuwa watu katika mataifa ya kigeni watatizama hilo kama ubaguzi wa rangi.


Haya yote yatakuwa habari muhimu kwa watanzania ambako neno hili kwa kifupi,Bongoland lina maana tofauti kabisa na ilivyotafsiriwa na mwanasiasa huyo.


Badala yake inamaanisha mahala ambapo watu wanapaswa kuwa wajanja na kuwa makini wakati wote.

Sehemu hiyo, ni mji mkubwa wa Dar es Salaam. Linatokana na mchanganyiko wa neno la Kiswahili Ubongo - lenye maana Akili,
na neno - land.


Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau anafafanua . "Dar es Salaam ni sehemu ambapo watu hawana budi ila kutumia akili zao. Unaweza kuwa tapeli au mfanyabiashara lakini lazima wawe na mbinu ya kupata pesa.''


Neno hili unaweza kusema ni jipya...kulingana na Famau...limekuwa likitumika kwa miaka 15 sasa. Babake hawezi kuwa analitumia , linatumika sana miongini wa vijana walio chini ya umri wa miaka 35. Lakini linasifika sana kiasi cha kuwahi kuwa jina la filamu

iliyotolewa mwaka 2003 kuhusu kijana mmoja mtanzania kuhamia Marekani na fimalu hiyo ikawa na sehemu yake ya pili kwa Bongoland II.


Cha mno zaidi, ikiwa utatumia neno Bongoland nchini Tanzania basi unakuwa umegonga ndipo na kwa hilo unapata pointi hapo wala sio kukosolewa,'' anasema Famau.

Labda ufafanuzi huo ungemsaidia bwana Bloom kujizuia na utata aliosababisha.

Nini maana nyingine ya 'Bongoland'? - BBC Swahili - Habari
 
'Bongo Bongo land' ni neno ambalo hutumiwa miongoni mwa waingereza kama lugha ya dharau kuashiria nchi maskini, au mataifa yanayostawi.;ni kauli ya mwanachama wa kujitegemea Godfrey Bloom wa MEP, Bloom anasema kuwa Bongo Bongo Land ni neno wanalotumia watu kuashiria nchi maskini isiyo na ustaarabu.
Tunaielewaje hiyo kauli?
 
Habari za hivi karibuni zinasema huyu bwana Bloom ameomba radhi kwa kutoa kauli hiyo hadharani. Lakini EMT, hoja hapa ni kwamba yeye aliitumia kibaguzi kwa maana ya 'kupeleka tuu fedha kwa watu ambao hawana umuhimu wowote katika mustakabali wa dunia hii...Third world, or Ruritania!

Kwa hiyo amewaomba radhi akina nani?

Kama wewe ni Mbongo na akikuomba radhi utaipokea radhi yake?
 
Kwao ni dharau kutumia neno "Bongo Bongo land" kwa mtazamo wangu wako sawa kumtaka aombe msamaha kwani neno alilotumia sio sahihi.

Maneno hubeba maana tofauti kulingana na mazingira ya mzungumzaji.
 
Kwao ni dharau kutumia neno "Bongo Bongo land" kwa mtazamo wangu wako sawa kumtaka aombe msamaha kwani neno alilotumia sio sahihi.

Maneno hubeba maana tofauti kulingana na mazingira ya mzungumzaji.

Yeye amedai kuwa "Bongo Bongo land" siyo neno la kibaguzi kwa sababu bongo ni jina la huyu mnyama.

rsz_bongonew.jpg
 
Context is everything, "Bongo Bongo land" is not bongo land, and "Ubekibekistan" is not "Uzbekistan"

Bongo bongo = hanky panky, pitter patter, hocus pocus, dilly dally, ticky tacky,willy nilly

Bongo in english means drums.Like the ones Richard Feynman used to play.

Bongo bongo is not a word, is a made up derogatory term.

Herman Cain Can't Name The President Of Ubeki-beki-beki-beki-stan-stan - YouTube
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hiki kibabu kwenye hiyo video ukikitizama usoni tu impression yake wakati kinasema "BONGO BONGO LAND" kilikuwa kinamaanisha neno la dharau na la kibaguzi kama weupe wengi wanavyoi-percieve Tanzania na Africa kwa ujumla wake.
 
Yeye amedai kuwa "Bongo Bongo land" siyo neno la kibaguzi kwa sababu bongo ni jina la huyu mnyama.

rsz_bongonew.jpg

Kwa hiyo UK inatoa misaada kwa wanyama? In my opinion this comment changes everything, hatakiwa kuomba msamaha Watanzania bali nchi zinazotegemea UK aid.

"How we can possibly be giving £1bn a month, when we're in this sort of debt, to Bongo Bongo Land is completely beyond me."

Bloom told the BBC Bongo Bongo Land was "a figment of people's imagination. It's like Ruritania or the Third world

This is what you get for being donor dependent, its high time we woke up!
 
Back
Top Bottom